Sikujua kuwa kumbe hata Zama hizi za Sasa bado kuna Wanaume 'Hopeless' kabisa kama huyu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Juma baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja akidai hafanani naye.

Chanzo: mwananchi_official

Tena nawaombeni nyie Mliotoa hii Hukumu mnipe Kolabo na huyo atakayempa Adhabu mlioihukumu ili nimsaidie Ok?
 
umeme mdogo kichwani, kama hufanani nani achana na iyo familia sio kumdhurumu dogo haki yake ya kuishi
 
Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Juma baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja akidai hafanani naye.

Chanzo: mwananchi_official

Tena nawaombeni nyie Mliotoa hii Hukumu mnipe Kolabo na huyo atakayempa Adhabu mlioihukumu ili nimsaidie Ok?
inasikitisha sana,

baba hana uwezo wa kupeleka motro vizuri, na ana tatizo la nguvu za kiume, halafu mkewe anashika mimba, then anazaliwa mtoto hafanani na babae japo si Lazima, dah 🐒

R.I.P malaika usie na hatia...
 
Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Juma baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja akidai hafanani naye.

Chanzo: mwananchi_official

Tena nawaombeni nyie Mliotoa hii Hukumu mnipe Kolabo na huyo atakayempa Adhabu mlioihukumu ili nimsaidie Ok?
Alikuwa na akili timamu kweli?

Halafu mtu mwenyewe unaweza ukamkuta yeye naye hafanani na baba yake!
 
Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Juma baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja akidai hafanani naye.

Chanzo: mwananchi_official

Tena nawaombeni nyie Mliotoa hii Hukumu mnipe Kolabo na huyo atakayempa Adhabu mlioihukumu ili nimsaidie Ok?
Nakushangaa, inamaana huijui Geita, yule kiongozi wa Malaika si mwenyeji wa huko?
 
Back
Top Bottom