GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni kweli ukichomekewa unachomoa kwa staili hiiWanaume tusiopenda makubwa tukichomekewa kete bomani mwetu huwa tunamuambia mama mleta hiyo kete aende kwa aliyemchomekea. Uhusiano unaishia hapo hapo bila kuleta athari kwa kiumbe chochote
Mbona adriz analea wa mwengine na maisha yanaenda?Wanaume tusiopenda makubwa tukichomekewa kete bomani mwetu huwa tunamuambia mama mleta hiyo kete aende kwa aliyemchomekea. Uhusiano unaishia hapo hapo bila kuleta athari kwa kiumbe chochote
inasikitisha sana,Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Juma baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja akidai hafanani naye.
Chanzo: mwananchi_official
Tena nawaombeni nyie Mliotoa hii Hukumu mnipe Kolabo na huyo atakayempa Adhabu mlioihukumu ili nimsaidie Ok?
Alikuwa na akili timamu kweli?Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Juma baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja akidai hafanani naye.
Chanzo: mwananchi_official
Tena nawaombeni nyie Mliotoa hii Hukumu mnipe Kolabo na huyo atakayempa Adhabu mlioihukumu ili nimsaidie Ok?
Nakushangaa, inamaana huijui Geita, yule kiongozi wa Malaika si mwenyeji wa huko?Mahakama Kuu Kanda ya Geita imemhukumu kunyongwa hadi kufa, Anold Juma baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumuua kwa kukusudia mtoto wake Anna Shemas mwenye umri wa mwezi mmoja akidai hafanani naye.
Chanzo: mwananchi_official
Tena nawaombeni nyie Mliotoa hii Hukumu mnipe Kolabo na huyo atakayempa Adhabu mlioihukumu ili nimsaidie Ok?