bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Jifunze kutoruhusu mambo ya nje yakuathiri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli inahitaji uvumilivu, ila sio akili, ukitumia akili utampa talaka haraka sana, alaf mi Siwez piga mwanamke na sijawahimwanaume pekee wa kwelikweli aweza ishi kwa akili na kumvumilia mke vinginevyo utaua bure
Hapana, mnazingua sana, kwani kuongea vitu straight hamuwez, hadi muanze kumchanganya mtu na mixed signals
Kwanza, kama unasoma Biblia, kasome andiko la 1 Petro 3:7-9 7 Kadhalika ninyi waume, ishini na wake zenu kwa akili, mkitambua ya kuwa wao ni dhaifu na hivyo muwape heshima, kwa maana ninyi ni warithi pamoja nao wa neema ya uzima. Fanyeni hivyo ili sala zenu zisizuiliwe.Hapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.
Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na yanakera sana.
Hivi mtu anategemeaje ufanye kitu ambacho hujamwambia??
Unapingana na maandiko matakatifu, ndio maana mambo yanakuharibikia. Unatumia theory za washikaji wako wa kijiweni ambao hawana hata mpango wa kuoa unadhani utafanikiwa?Kweli inahitaji uvumilivu, ila sio akili, ukitumia akili utampa talaka haraka sana, alaf mi Siwez piga mwanamke na sijawahi
Tatizo ni kwamba kila mnachoongea mnadhani ni point tunapaswa kutekeleza. Tukiwapa maoni tofauti unakuwa ubishi na ugomvi na risk ya kunyimwa vitu usiku huo! Ndio maana tunajifanya tumeelewa tukijua baadae tutasema tulisahu! With a woman, it is safer kusema nilisahau baadae kuliko kusema sikubaliani na wewe akiongea! That way unajua utapewa vitu kwa moyo wote asubuhi uende kazini unatabasamu na kupiga mluzi wa nyimbo za Bongo flavor, feeling like the cat that got the cream!Tukiongea straight hamzingatii...mnajifanya vichwa panzi wasahaulifu
Nimeipenda hiiPole kwa kuchelewa kujua hilo, kwa ufupi huwa hawaeleweki. Ukiona umeanza kuwaelewa andika wosia maana siku zako zitakuwa zinahesabika.
HAMNA, ukiona hakuzingatii huyo hakupendi, anayekupenda hawez kujisahaulisha(alaf kama ukiongea staright hazingatii, ukimchanganya na mixed signals ndo ataelewa?? Huoni kwamba unazidi kuongea matatizo?), alaf ni mara chache sana mnaongea straight, mara nyingi mnachowaza akilini sio kinachotoka mdomoni, kwann mnafanya hivi? Hii ni njia ya ku-communicate na mpenzi wako??Tukiongea straight hamzingatii...mnajifanya vichwa panzi wasahaulifu
Ahsante ushauri mzuriKwanza, kama unasoma Biblia, kasome andiko la 1 Petro 3:7-9 7 Kadhalika ninyi waume, ishini na wake zenu kwa akili, mkitambua ya kuwa wao ni dhaifu na hivyo muwape heshima, kwa maana ninyi ni warithi pamoja nao wa neema ya uzima. Fanyeni hivyo ili sala zenu zisizuiliwe.
Kisha jipe muda wa jaribu kumsoma huwa anataka nini, kwa sababu hivyo vitu unavyosema anatarajia uvifanye bila yeye kukuambia vitakuwa vinajirudia.
Kwa mfano, unataka hadi akuambie muda wa kununua LUKU umefika nunua? Watumie wazazi wako hela za matumizi? Lipia kifurushi cha Azam mwisho wa mwezi umefika? Gari imechafuka hakikisha unaiosha leo ukitoka kazini? Ndio maana unapata maswali kama umenunua umeme? Umeosha gari? Umeleta soda za wageni? Umelipia Azam TV? Ni mambo ambayo hupaswi kuambiwa uyafanye, bali utaulizwa kama umeyafanya. Akitoka aende mahali na gari, akakuta gari chafu na ulikuwa nayo wewe, of course atasema kwa nini hujaosha gari. Sasa wewe unataka ujibu hukuniambia nilioshe?
Pia kumbuka inawezekana mwenye tatizo ni wewe, hufanyi kitu kwa kujituma mwenyewe mpaka uambiwe au ukumbushwe au usimamiwe, ambayo ni tabia ya Watanzania wengi hata kazini. Na huenda na yeye anachukia hiyo tabia yako ya kutokuwa pro-active!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Malizana nae mzeee ulivyokua unamkunjua goti hukutuambia zaidi ya kutuletea nyuzi za shibe
Hii imeendaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
View attachment 3027383
Broo mimi sibishani na maandiko na naheshimu sana maandiko ya mungu ila tukija kweny reality uhalisia wa maisha sasa ukisema utumie akili haitoshi kabisa kuishi na mwanamke, inahitaji uvumilivu mkubwa sana, mfano mwanamke anayekujibu kwa dharau, utatumia akili au uvumilivu kuishi nae?? Ninacho suggest ni kwamba akili bila uvumilivu kwa upande wa wanawake hutoboiUnapingana na maandiko matakatifu, ndio maana mambo yanakuharibikia. Unatumia theory za washikaji wako wa kijiweni ambao hawana hata mpango wa kuoa unadhani utafanikiwa?
1 Petro 3:7-9 7 Kadhalika ninyi waume, ishini na wake zenu kwa akili, mkitambua ya kuwa wao ni dhaifu na hivyo muwape heshima, kwa maana ninyi ni warithi pamoja nao wa neema ya uzima. Fanyeni hivyo ili sala zenu zisizuiliwe.
HAMNA, ukiona hakuzingatii huyo hakupendi, anayekupenda hawez kujisahaulisha(alaf kama ukiongea staright hazingatii, ukimchanganya na mixed signals ndo ataelewa?? Huoni kwamba unazidi kuongea matatizo?), alaf ni mara chache sana mnaongea straight, mara nyingi mnachowaza akilini sio kinachotoka mdomoni, kwann mnafanya hivi? Hii ni njia ya ku-communicate na mpenzi wako??
Bado haujawaweka wazi, unazunguka sanaKaka ushawahi kulalamikiwa ufanyi vitu ambavyo hujaambiwa, ukimuuliza kwann huniambii, unajibiwa "wewe ni mwanaume inabidi ujue bila kuambiwa" kwan mi ni mungu niweze kusoma akili yako??
HAMNA, ukiona hakuzingatii huyo hakupendi, anayekupenda hawez kujisahaulisha(alaf kama ukiongea staright hazingatii, ukimchanganya na mixed signals ndo ataelewa?? Huoni kwamba unazidi kuongea matatizo?), alaf ni mara chache sana mnaongea straight, mara nyingi mnachowaza akilini sio kinachotoka mdomoni, kwann mnafanya hivi? Hii ni njia ya ku-communicate na mpenzi wako??
Una uwezo mdogo hata wa kufikiria hivyo hata swala dogo la wanawake linakushindaHapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.
Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na yanakera sana.
Hivi mtu anategemeaje ufanye kitu ambacho hujamwambia??
Wanawake eleweni kwamba wanaume hatuwez kila siku kujua mnachotaka bila kutuambia, hatuwez kusoma akili zenu kila siku.
Wazee mnaoishi na wanwake, mnatumia njia gani kupunguza stress, maana nahic nawehuka.