Ukiwa unafikiria hivyo utapata taabu sana kuwaelewana wanawake,Wanavyofikiria wanawake na wanaume(when it comes to relationships)ni vitu viwili tofauti,wao wapo so dramatic,wanaongozwa zaidi na hisia,na Kuna factors nyingi zinazo drive hisia za mwanamke,Kila siku anaweza kuamka na jipya, inategemea na mood aliyo nayo,
Hizo tunazofikiria ni drama,sio drama ni vile anataka attention yako na kupata majibu juu ya wasiwasi wake,maswali ambayo always wanawake wanayo wakiwa kwenye mahusiano,
Maswali kama,
"Does he care?"
"Does he still love me?"
"Will he reject me one day?"
"Will he leave me?"
"Does he think about me?"
Unataka akwambie au akuulize Kila kitu??
Wanawake hawapo hivyo,
Mimi wangu Jana kaniaga,usiku mwema,lakini najua alitaka Kusema "please nigga call me" namimi kwa makusudi kwa vile najua Nini anataka,nikamjibu okay my love, Good night, unadhani alilala??hah hell no, akasema acha kuzingua call me,, unadhani ilikua Ngumu kwake Kusema direct like an arrow NIPIGIE!!!!??No,sometimes Wanawake hawapo hivyo
Nimegundua kua mambo hayo ndio yanafanya wanawake kua wanawake, haijalishi Elimu, Umri,au jambo lolote, wanawake always watakua wajinga wajinga,and that makes them so beautiful,and Funny..
Kama umechoka Kisirani, drama na gubu la wanawake,it seems like unataka kuoa mwanaume,