Sikujua kwamba wanawake ni pasua kichwa kiasi hiki

Hapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.

Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na yanakera sana.

Hivi mtu anategemeaje ufanye kitu ambacho hujamwambia??

Wanawake eleweni kwamba wanaume hatuwez kila siku kujua mnachotaka bila kutuambia, hatuwez kusoma akili zenu kila siku.

Wazee mnaoishi na wanwake, mnatumia njia gani kupunguza stress, maana nahic nawehuka.

UPDATE;
Kuna watu wame suggest niwe specific, nielezee angalau what I'm going through, okay vitimbwi ni vingi na vyote vinasababishwa na her ways of communicating with me pamoja na ubishi.
Mfano kuna siku tulikuwa tunatoka, na sehemu tuliokuwa tunaenda lazima kuna sehemu uache gari uzunguke kwa mguu, so yeye alikuwa amevaa viatu ambavyo ukiviangalia tuu havifai kwa kutembelea vitamuumiza, nikamshauri vua hivo viatu vaa raba, tunakoenda tutatembea sana alaf hivo viatu vitakuumiza, bhana si akakataa, nikamwambia haya mama twende, sasa tumefika huko tukaanza kutembea nikaanza kumsikia anaanza kusonya, mara analalamika tunatembea sana ila shida ilikuwa ni vile viatu na ukimwambia anagoma kabisa anasema shida sio viatu.
Kwann hii ilinipa shida, kwasababu yeye akiwa kweny maumivu automatically na mm nipo kweny maumivu.
Badae nikachoka kuvumilia ikabidi nimnunulie sendo za kawaida kweny duka tuliokutana nalo njiani.

Hawa viumbe ni pasua vichwa.
Hongera kwa kuwajua...
 
I love reading books, thanks Evelyn Salt
There you are, hicho kitabu kuna vitu ukiwaza reactions zako baadhi ya mambo ukirelate na vya humo vilivyo simple utacheka.

Humo nilisoma kitu kimoja hivi "women are like waves and men are like rubber bands".

Wanaume kwa wanawake tuna normal cycle ya mapenzi kuwa on na kuwa off....kumbe ni kitu cha kawaida, lakini ukimuona baby wako leo kakaa zake kimya hajisikii kubebishana wakati jana mlikua na mahaba kilo 100 unaanza kuwaza "nimemfanya nini" nimekosea wapi" unaanza kumuuliza whats wrong kumbe hapa ndo unamkera zaidi 🤣🤣🤣

Let the rubber band stretch itself then inarudi katika normal state ikiwa so much energetic..... Utajua vingi humo
 
Nimeanza kukipitia kidogo asaiv nimeona sehemu inasema hivo and of course it makes sense, leo usiku ntaanza kukisoma vzur
 
Hapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.

Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na yanakera sana.

Hivi mtu anategemeaje ufanye kitu ambacho hujamwambia??

Wanawake eleweni kwamba wanaume hatuwez kila siku kujua mnachotaka bila kutuambia, hatuwez kusoma akili zenu kila siku.

Wazee mnaoishi na wanwake, mnatumia njia gani kupunguza stress, maana nahic nawehuka.

UPDATE;
Kuna watu wame suggest niwe specific, nielezee angalau what I'm going through, okay vitimbwi ni vingi na vyote vinasababishwa na her ways of communicating with me pamoja na ubishi.
Mfano kuna siku tulikuwa tunatoka, na sehemu tuliokuwa tunaenda lazima kuna sehemu uache gari uzunguke kwa mguu, so yeye alikuwa amevaa viatu ambavyo ukiviangalia tuu havifai kwa kutembelea vitamuumiza, nikamshauri vua hivo viatu vaa raba, tunakoenda tutatembea sana alaf hivo viatu vitakuumiza, bhana si akakataa, nikamwambia haya mama twende, sasa tumefika huko tukaanza kutembea nikaanza kumsikia anaanza kusonya, mara analalamika tunatembea sana ila shida ilikuwa ni vile viatu na ukimwambia anagoma kabisa anasema shida sio viatu.
Kwann hii ilinipa shida, kwasababu yeye akiwa kweny maumivu automatically na mm nipo kweny maumivu.
Badae nikachoka kuvumilia ikabidi nimnunulie sendo za kawaida kweny duka tuliokutana nalo njiani.

Hawa viumbe ni pasua vichwa.
Achana na wanawake anacheza na akilo yako huyo....anakudekea anataka attention dawa zipo nyingi ......dawa dharau ni makusudi.....akipiga kelele ....toka zako tafita sehemy tulia na wana ....ukirudi akipiga kelele muangalie tu endelea shighuli zako......atabadilika ila usitoke nje ya majukuku yako na sometimes umwambie hupwndi kelele.....siku isiyo na jina utampa kelbu akaw sawa ajue wewe ndio baba nyumba
 
There you are, hicho kitabu kuna vitu ukiwaza reactions zako baadhi ya mambo ukirelate na vya humo vilivyo simple utacheka.

Humo nilisoma kitu kimoja hivi "women are like waves and men are like rubber bands".

Wanaume kwa wanawake tuna normal cycle ya mapenzi kuwa on na kuwa off....kumbe ni kitu cha kawaida, lakini ukimuona baby wako leo kakaa zake kimya hajisikii kubebishana wakati jana mlikua na mahaba kilo 100 unaanza kuwaza "nimemfanya nini" nimekosea wapi" unaanza kumuuliza whats wrong kumbe hapa ndo unamkera zaidi 🤣🤣🤣

Let the rubber band stretch itself then inarudi katika normal state ikiwa so much energetic..... Utajua vingi humo

Hapo kwenye rubber ku stretch na kurudi normal, inahusisha kuwa na mpango wa kando?

Binafsi nna ahueni Kwa sababu hatukai wote muda mwingi. Hali ilitaka kuanza kuleta dhoruba, naondoka Kisha baada ya wiki tunaonana tena.

Ila hii tasnia hata umalize kusoma vitabu vyote, bado Kuna maeneo itakutandika tu.

Hata huyo mwandishi wa kitabu ukikaa nae vizuri Kwa utulivu, atakwambia tu vile anavyopelekeshwa na haya mambo.
 
Hapana rubber kustretch haina uhusiano na mpango wa kando, ni auto ingawa mpango wa kando nao huwa unaleta kustretch 😹😹

Ni kweli yana mambo mengi japo kuna miongozo inasaidia.
 
Duuuh hivi nyie Wanawake wa namna hii ndio wanawaita ving'ang'anizi, haya basi nimekuruhusu Ila hivyo viatu vya kuchuchumia usivae vaa raba
Ntavaa mchuchumio wakati tunatoka ndani,
Ntakuwa na raba kwenye buti
na visendo kwenye pochi.
aftena sendo zikiwa na vumbi nikifika sehemu utaninunulia maji chupa kubwa ninawe miguu, af tunaendelea na safari. si eti ?
Ain't it lovely?
 
😂 Hapa acha nicheke tu
 
😂 Hapa acha nicheke tu
Umeona vile haikeri, mwishowe inachekesha!
Was trying to kukufanya uitizame from that perspective.
Wanaume , let your women be girls!
Hakuna kitu kizuri kwenye mahusiano kama kulet kila mtu awe vile alivyo!
Yani wanawake tu tuko hivyo.
Sasa kinyume chake ndo mnataka mkae na mijitu migumu migumu hata haina kero za kipuuzi puuzi kama hizo!

Its sexy nakwambia!
Mi namruhusu mwenyewe akatizame mpira na akifika naanza kununa kwanini ametizama mpira mpka half time na hajanicheck.
Sa sijui anicheck mi nimekuwa VAR, na najua sana namzingua, ila all he can say is ''babe im sorry, next half will check on you!'
Naitikia hapo nalala!
Ujinga ujinga tu ila it is what it is!
 
That's good 😂 Wewe pasua kichwa kweli
 
Hapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.

Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na yanakera sana.

Hivi mtu anategemeaje ufanye kitu ambacho hujamwambia??

Wanawake eleweni kwamba wanaume hatuwez kila siku kujua mnachotaka bila kutuambia, hatuwez kusoma akili zenu kila siku.

Wazee mnaoishi na wanwake, mnatumia njia gani kupunguza stress, maana nahic nawehuka.

UPDATE;
Kuna watu wame suggest niwe specific, nielezee angalau what I'm going through, okay vitimbwi ni vingi na vyote vinasababishwa na her ways of communicating with me pamoja na ubishi.

Mfano kuna siku tulikuwa tunatoka, na sehemu tuliokuwa tunaenda lazima kuna sehemu uache gari uzunguke kwa mguu, so yeye alikuwa amevaa viatu ambavyo ukiviangalia tuu havifai kwa kutembelea vitamuumiza, nikamshauri vua hivo viatu vaa raba, tunakoenda tutatembea sana alaf hivo viatu vitakuumiza, bhana si akakataa, nikamwambia haya mama twende, sasa tumefika huko tukaanza kutembea nikaanza kumsikia anaanza kusonya, mara analalamika tunatembea sana ila shida ilikuwa ni vile viatu na ukimwambia anagoma kabisa anasema shida sio viatu.

Kwann hii ilinipa shida, kwasababu yeye akiwa kweny maumivu automatically na mm nipo kweny maumivu.
Badae nikachoka kuvumilia ikabidi nimnunulie sendo za kawaida kweny duka tuliokutana nalo njiani.

Hawa viumbe ni pasua vichwa.
Kabla ya kuoana inafaa kukaa uchumba at least mwaka mmoja kila mmoja ajifunze tabia za mwenzake na mkishapata mwafaka, ndipo muoane. Hii haina maana kwamba utakuwa umemjua mwenzako 'in-and-out' hapana, ila utakuwa angalau umeridhika naye to some extent kwa sababu maisha ya ndoa ni muda wote hadi mwisho, kujifunza namna ya kumpenda na kuishi na mume/mke wako hadi mwisho wa maisha yenu. Watu wengi hujifunua kwa wenzi wao kidogo tu na kubakiza sehemu nyingine kwa ajili yao wenyewe. Unakuta mtu anamwamini rafiki yake kuliko anavyomwamini mume/mke wake. Ukiona hivyo, ujue hiyo ni ndoa ya muda tu, baadaye itakuja kuleta matatizo. Ndoa ya kweli ni ile mume/mke akilini mwake na kwa matendo yake hana mtu mwingine kati yake na mume/mke wake. Lakini ndoa nyingi, unakuta watu wameoana, lakini hawaaminiani na wala hawana mpango wa kuishi pamoja maisha yao yote. Hapa hakuna ndoa. Baadhi ya matatizo huanzia hapa. Au pia mtu unaoa/olewa halafu uamuzi wanakufanyia watu wengine. Unakwenda kwa rafiki yako unamweleza matatizo ya mwenzi wako, halafu kabla ya kusikia na ya upande ule, huyo rafiki yako anakwambia "angekuwa mke wangu ningemtafutia nyumba ndogo/ningeachana naye", halafu na wewe unachukua mawazo yake kama yalivyo unakwenda ku'apply' kwa mkeo. Hopeless kabisa! Masuala ya ndoa yanahitaji upendo wa kweli, uwazi, akili (siyo ujanjaujanja)/busara, uelewa, kujadiliana, kusikilizana na kuelewana na kusameheana. Udikiteta kwenye ndoa huwa haufanyi kazi, unasababisha tu nidhamu ya woga na unafiki, lakini siyo heshima katika ndoa.
 
Hapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.

Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na yanakera sana.

Hivi mtu anategemeaje ufanye kitu ambacho hujamwambia??

Wanawake eleweni kwamba wanaume hatuwez kila siku kujua mnachotaka bila kutuambia, hatuwez kusoma akili zenu kila siku.

Wazee mnaoishi na wanwake, mnatumia njia gani kupunguza stress, maana nahic nawehuka.

UPDATE;
Kuna watu wame suggest niwe specific, nielezee angalau what I'm going through, okay vitimbwi ni vingi na vyote vinasababishwa na her ways of communicating with me pamoja na ubishi.

Mfano kuna siku tulikuwa tunatoka, na sehemu tuliokuwa tunaenda lazima kuna sehemu uache gari uzunguke kwa mguu, so yeye alikuwa amevaa viatu ambavyo ukiviangalia tuu havifai kwa kutembelea vitamuumiza, nikamshauri vua hivo viatu vaa raba, tunakoenda tutatembea sana alaf hivo viatu vitakuumiza, bhana si akakataa, nikamwambia haya mama twende, sasa tumefika huko tukaanza kutembea nikaanza kumsikia anaanza kusonya, mara analalamika tunatembea sana ila shida ilikuwa ni vile viatu na ukimwambia anagoma kabisa anasema shida sio viatu.

Kwann hii ilinipa shida, kwasababu yeye akiwa kweny maumivu automatically na mm nipo kweny maumivu.
Badae nikachoka kuvumilia ikabidi nimnunulie sendo za kawaida kweny duka tuliokutana nalo njiani.

Hawa viumbe ni pasua vichwa.
Yaani hilo tu
 
Back
Top Bottom