Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Hujawahi kunipasua kichwa sweetheart...Ishini nasi kwa akili 😊
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujawahi kunipasua kichwa sweetheart...Ishini nasi kwa akili 😊
Pleased to hear that love Thank youuuu💋💋Hujawahi kunipasua kichwa sweetheart...
kuwaelewa n kutowaelewa.. fullstop ya nukta nundu!Pole ukikua utawaelewa endelea kujifunza saikolojia ya mahusiano
wengine hua tunaambiwa 'jiongezee'.. kosa sasa ujikute umejiongeza, utaskia 'unajiongeza sana bn'... yan ni huzuni kwakweli- kwa sauti ya Hakika Ruben!Kaka ushawahi kulalamikiwa ufanyi vitu ambavyo hujaambiwa, ukimuuliza kwann huniambii, unajibiwa "wewe ni mwanaume inabidi ujue bila kuambiwa" kwan mi ni mungu niweze kusoma akili yako??
ahahahahha wenzio wanakatizaga tu duka la mangi wanaloona , wananunua ndala wanaweka tu mbele yetu tunavaa tumenuna af mbele huko tunasema ila bebi we unanipeeenda!Hapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.
Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na yanakera sana.
Hivi mtu anategemeaje ufanye kitu ambacho hujamwambia??
Wanawake eleweni kwamba wanaume hatuwez kila siku kujua mnachotaka bila kutuambia, hatuwez kusoma akili zenu kila siku.
Wazee mnaoishi na wanwake, mnatumia njia gani kupunguza stress, maana nahic nawehuka.
UPDATE;
Kuna watu wame suggest niwe specific, nielezee angalau what I'm going through, okay vitimbwi ni vingi na vyote vinasababishwa na her ways of communicating with me pamoja na ubishi.
Mfano kuna siku tulikuwa tunatoka, na sehemu tuliokuwa tunaenda lazima kuna sehemu uache gari uzunguke kwa mguu, so yeye alikuwa amevaa viatu ambavyo ukiviangalia tuu havifai kwa kutembelea vitamuumiza, nikamshauri vua hivo viatu vaa raba, tunakoenda tutatembea sana alaf hivo viatu vitakuumiza, bhana si akakataa, nikamwambia haya mama twende, sasa tumefika huko tukaanza kutembea nikaanza kumsikia anaanza kusonya, mara analalamika tunatembea sana ila shida ilikuwa ni vile viatu na ukimwambia anagoma kabisa anasema shida sio viatu.
Kwann hii ilinipa shida, kwasababu yeye akiwa kweny maumivu automatically na mm nipo kweny maumivu.
Badae nikachoka kuvumilia ikabidi nimnunulie sendo za kawaida kweny duka tuliokutana nalo njiani.
Hawa viumbe ni pasua vichwa.
Na Akili aliyotakiwa kuitumia hapo ni kumuacha tu nyumbani yeye akaenda mwenyewe, game ONZingatia maandiko
"Ishini nao kwa akili"
Huko kuwehuka ni wewe umependa kuwehuka
ndo hivyo tu yani.Kaka ushawahi kulalamikiwa ufanyi vitu ambavyo hujaambiwa, ukimuuliza kwann huniambii, unajibiwa "wewe ni mwanaume inabidi ujue bila kuambiwa" kwan mi ni mungu niweze kusoma akili yako??
nanuna , kwanini umeenda peke yako.Na Akili aliyotakiwa kuitumia hapo ni kumuacha tu nyumbani yeye akaenda mwenyewe, game ON
Hela ya ndala Ina matumizi mengine sitaki tupasuane vichwa nikununulie ndala nazo uanze kusonya eti ndala gani bei rahisi unataka ndala za gharama, Baki tu nyumbaninanuna , kwanini umeenda peke yako.
Blaza kubeba hela ya ndala ni shing ngapi kwani?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Dihaaa, asa ndala nayo ni kitu Cha kuhesabia Hela mpk ya matofali, si uninunulie tu hata zikiwa pea sitaHela ya ndala Ina matumizi mengine sitaki tupasuane vichwa nikununulie ndala nazo uanze kusonya eti ndala gani bei rahisi unataka ndala za gharama, Baki tu nyumbani
Pea 6? Matumizi mabaya ya Pesa hio sifanyi Mimi, Wewe Baki nyumbani hapo MIMI acha niende outing peke yangu washa TV angalia tamthilya hapo nitakukutaDihaaa, asa ndala nayo ni kitu Cha kuhesabia Hela mpk ya matofali, si uninunulie tu hata zikiwa pea sita
Ulifanya makosa kumnunulia sandle.Hapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.
Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na yanakera sana.
Hivi mtu anategemeaje ufanye kitu ambacho hujamwambia??
Wanawake eleweni kwamba wanaume hatuwez kila siku kujua mnachotaka bila kutuambia, hatuwez kusoma akili zenu kila siku.
Wazee mnaoishi na wanwake, mnatumia njia gani kupunguza stress, maana nahic nawehuka.
UPDATE;
Kuna watu wame suggest niwe specific, nielezee angalau what I'm going through, okay vitimbwi ni vingi na vyote vinasababishwa na her ways of communicating with me pamoja na ubishi.
Mfano kuna siku tulikuwa tunatoka, na sehemu tuliokuwa tunaenda lazima kuna sehemu uache gari uzunguke kwa mguu, so yeye alikuwa amevaa viatu ambavyo ukiviangalia tuu havifai kwa kutembelea vitamuumiza, nikamshauri vua hivo viatu vaa raba, tunakoenda tutatembea sana alaf hivo viatu vitakuumiza, bhana si akakataa, nikamwambia haya mama twende, sasa tumefika huko tukaanza kutembea nikaanza kumsikia anaanza kusonya, mara analalamika tunatembea sana ila shida ilikuwa ni vile viatu na ukimwambia anagoma kabisa anasema shida sio viatu.
Kwann hii ilinipa shida, kwasababu yeye akiwa kweny maumivu automatically na mm nipo kweny maumivu.
Badae nikachoka kuvumilia ikabidi nimnunulie sendo za kawaida kweny duka tuliokutana nalo njiani.
Hawa viumbe ni pasua vichwa.
We unadhani nani ana good communication skills kati mwanaume na mwanamke?we tatizo lako unataka kutumia akili nying kwa mtu hata hataki utumie akili ila atakulaumu kwa kushindwa kwa kutotumia akili!
Tuelewe tuuuu!
Kanunulishwa sendo bila kutaka shida ndio ilipoanziaSasa si ungetoa ufafanuzi kuwa anakufanyia nini tuelewe? Bainisha hayo mambo madogo madogo ni yapi?
Wakenya wanasema amekukalia chapati ...Hapa nipo na msongo wa mawazo, bora nilivokuwa single nilikuwa nina furaha.
Bora hata angenisaliti ningejua cha kufanya(ningeachana nae), ila makosa anayofanya ni madogomadogo ila ni mengi na yanakera sana.
Hivi mtu anategemeaje ufanye kitu ambacho hujamwambia??
Wanawake eleweni kwamba wanaume hatuwez kila siku kujua mnachotaka bila kutuambia, hatuwez kusoma akili zenu kila siku.
Wazee mnaoishi na wanwake, mnatumia njia gani kupunguza stress, maana nahic nawehuka.
UPDATE;
Kuna watu wame suggest niwe specific, nielezee angalau what I'm going through, okay vitimbwi ni vingi na vyote vinasababishwa na her ways of communicating with me pamoja na ubishi.
Mfano kuna siku tulikuwa tunatoka, na sehemu tuliokuwa tunaenda lazima kuna sehemu uache gari uzunguke kwa mguu, so yeye alikuwa amevaa viatu ambavyo ukiviangalia tuu havifai kwa kutembelea vitamuumiza, nikamshauri vua hivo viatu vaa raba, tunakoenda tutatembea sana alaf hivo viatu vitakuumiza, bhana si akakataa, nikamwambia haya mama twende, sasa tumefika huko tukaanza kutembea nikaanza kumsikia anaanza kusonya, mara analalamika tunatembea sana ila shida ilikuwa ni vile viatu na ukimwambia anagoma kabisa anasema shida sio viatu.
Kwann hii ilinipa shida, kwasababu yeye akiwa kweny maumivu automatically na mm nipo kweny maumivu.
Badae nikachoka kuvumilia ikabidi nimnunulie sendo za kawaida kweny duka tuliokutana nalo njiani.
Hawa viumbe ni pasua vichwa.
I love reading books, thanks Evelyn SaltBlackbeard Agenda soma hiki kitabu, kama hauna hobby na kusoma jitahidi soma mdogo mdogo, kuna vitu utavipata humu mkeo hata akivifanya utabaki kucheka tu huku solution unayo..... Kero zake atabaki nazo ye peke ake.