Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo hapa tunasema ugali MotoTatizo wanaume wanajikutaga smart sana
Kumbe mwanamke anasuka move zake pia.
Haina pole revenge is coming...Kama ulijitoa na ukatendwa, pole ndugu yangu.
Bet yako naona uliweka goal goal[emoji2][emoji2]Inawezekana ila kabla sijaolewa nimebet pia
Usijidanganye wasio na watoto hawabet
Utaumia zaidi
TATIZO HAPO SIO SINGLE MAZA; tatizo unataka papuchi na hutaki kuoaHappy Ole Sabaya Day..!!
Nimemfumania mpenzi wangu halafu SINGO MAZA.
Leo napokea simu ya mpenzi Ila sauti ya kiume..!!
Kuongea anasema ""niachane na mpenzi wake"".
Nikamuuliza "mmeanza lini huo upenzi?"
Nikajibiwa "ni miezi mi4 sasa"
Ila Mimi nimeanza nae tokea April/2019, nae akashangaa..!!!
Dah...
Mwanamke mwenyewe ni Singo maza.
Nilijitoa kwake Ila kumbe ni mgawa mbunye.
Haya bana mimi NIMEMWACHIA tu aendelee.
Halafu mtu anasema eti ""Singo maza wanajielewa..!!""
Tukiwa hit and run tunasemwa.
Tukitulia na kuwapenda WANAVIMBA KICHWA..!!
Bora nifate ushauri wa joka jeusi tuu...
Ngoja nitafute BIKRA NIOE.
#YNWA
Hakuna cha bure mjini hapa..TATIZO HAPO SIO SINGLE MAZA; tatizo unataka papuchi na hutaki kuoa
unafikiri nani yupo tayari kukupa nanii yake buree kwa muda mrefu na anajua alisha kosea mwanzo akazaa....
UNGETANGAZA NDOA NA UENDE KWAO UONE KAMA ANGE KUCHEAT
Nimemtaadharisha atasema napiga nakuondoka, weee kakwambia nani huyo haji kijinga labda naye awe mjinga, wanaume wengi wameingia mtego huu na kuumiza familia zao.Tatizo wanaume wanajikutaga smart sana
Kumbe mwanamke anasuka move zake pia.
Tulikuwa wengi alishindwa kubalanceUlijiuliza/ulipeleleza kujua kwa nini uliachwa?
Hahaha swali chokozishiUshawatest sana eeh?
Isije kuwa kinyume chake!Tulikuwa wengi alishindwa kubalance
Wewe wasema" in Jesus's voiceIsije kuwa kinyume chake!
Yap wanaume wanaweza kukutana bar wakanunuliana bia na kuhadithiana jinsi wanavyochakata mbunye MOJA kwa zamu..!!!
Mi nilishawahi share mbunye na friend wangu ninae kaa nae gheto moja (alikua ni mtumishi wa Umma na amekuja kusoma chuo, alishukia gheto siku kadhaa ili ajikusanye akapange gheto lake).
Ye alikua anapigia guest na mimi napigia gheto.
Demu alikua akitaka kuja gheto jamaa anaenda chuo kusoma.
Mpaka jamaa anapata gheto, ikawa akimtaka anamuita gheto lake, na mimi nikimtaka namwita ghetoni kwangu.
Kila mtu alikua anasugua mbunye kwa wakati wake.
Ila bana Kuna siku tulizingua....
Jamaa angu aliniazima PC akafanye assignment ghetoni kwake.
Sasa bana PC nilibadilisha wallpaper nikaweka picha ya masela (tulipiga selfie kwenye sherehe moja hivi na wote wawili tulikuwepo kwenye hiyo selfie).
Ile demu kuona PC akashtuka (alikua aijua, maana alikua akija gheto naweka mziki au movie tunacheki).
Demu kuwasha PC anakuta sura zetu wawili kwenye wallpaper (nailaani sanaa ile wallpaper, siijui kwanini nilibadilisha ya Liverpool na kuiweka ile then tukashtukiwa).
Demu aliandika bonge la gazeti la lawama WhatsApp...!!
Nilichomjibu """PUNGUZA UMALAYA, UMEFANYWA MALAYA KWASABABU ULIJIONA MALAYA NA UKA ACT UMALAYA"""
#YNWA
Wewe si yule ambae upo na mume usiye mwelewa, ambae umekubali akuoe kwasababu ya Uchumi wake?Nishaolewa mkuu ila nilipata mtoto kabla ya kuolewa....hivyo bado naumia kwanini tunadharaulika ivi ingali wasababishaji ni nyie wenyewe
Singo maza watamu hasaa sijui kwanini...!!!Ushawatest sana eeh?
Some people we are addicted to Singo maza.Nguvu ya kutongoza single Maza mnatoa wapi jamani?
Nishaolewa mkuu ila nilipata mtoto kabla ya kuolewa....hivyo bado naumia kwanini tunadharaulika ivi ingali wasababishaji ni nyie wenyewe
Sawa mkuuInawezekana hata wewe ulikuwa tatizo la kuachwa
Tatizo kwenye Mahusiano mkiachana kila mtu anajiona yupo sahihi na ndio kaonewa.Sawa mkuu
Mkuu,mtu kukung'ang'aniza utoe mimba ukakataa then unagundua kuna mwenzio pia ana mimba ya bwana huyohuyo bado ni tatizo langu pia?Tatizo kwenye Mahusiano mkiachana kila anajiona yupo sahihi na ndio naonewa.
#YNWA