Sikukuu yote hii eti nimefumania...

Sikukuu yote hii eti nimefumania...

Kama ulijitoa na ukatendwa, pole ndugu yangu.
Haina pole revenge is coming...
Screenshot_20210515-110331.png


Tokea asubuhi ananililia aje gheto.

Nachotaka, namnyamziaa najua atakua amepaniki huko alipo.

Jioni namwita najua atalia na kuomba msamaha Ila atafanywa FUC* MATE.

Na hatoona hata shilingi yangu nyeusi.

Ni mwendo wa kusuguliwa mbunye tu mpaka atakapoona inatosha na ataondoka kwenye maisha yangu.

#YNWA
 
Happy Ole Sabaya Day..!!

Nimemfumania mpenzi wangu halafu SINGO MAZA.

Leo napokea simu ya mpenzi Ila sauti ya kiume..!!

Kuongea anasema ""niachane na mpenzi wake"".

Nikamuuliza "mmeanza lini huo upenzi?"

Nikajibiwa "ni miezi mi4 sasa"

Ila Mimi nimeanza nae tokea April/2019, nae akashangaa..!!!

Dah...
Mwanamke mwenyewe ni Singo maza.
Nilijitoa kwake Ila kumbe ni mgawa mbunye.

Haya bana mimi NIMEMWACHIA tu aendelee.

Halafu mtu anasema eti ""Singo maza wanajielewa..!!""

Tukiwa hit and run tunasemwa.

Tukitulia na kuwapenda WANAVIMBA KICHWA..!!

Bora nifate ushauri wa joka jeusi tuu...

Ngoja nitafute BIKRA NIOE.

#YNWA
TATIZO HAPO SIO SINGLE MAZA; tatizo unataka papuchi na hutaki kuoa
unafikiri nani yupo tayari kukupa nanii yake buree kwa muda mrefu na anajua alisha kosea mwanzo akazaa....
UNGETANGAZA NDOA NA UENDE KWAO UONE KAMA ANGE KUCHEAT
 
TATIZO HAPO SIO SINGLE MAZA; tatizo unataka papuchi na hutaki kuoa
unafikiri nani yupo tayari kukupa nanii yake buree kwa muda mrefu na anajua alisha kosea mwanzo akazaa....
UNGETANGAZA NDOA NA UENDE KWAO UONE KAMA ANGE KUCHEAT
Hakuna cha bure mjini hapa..
Huduma nilitoa sanaaa.

#YNWA
 
Tatizo wanaume wanajikutaga smart sana
Kumbe mwanamke anasuka move zake pia.
Nimemtaadharisha atasema napiga nakuondoka, weee kakwambia nani huyo haji kijinga labda naye awe mjinga, wanaume wengi wameingia mtego huu na kuumiza familia zao.
 
Yap wanaume wanaweza kukutana bar wakanunuliana bia na kuhadithiana jinsi wanavyochakata mbunye MOJA kwa zamu..!!!

Mi nilishawahi share mbunye na friend wangu ninae kaa nae gheto moja (alikua ni mtumishi wa Umma na amekuja kusoma chuo, alishukia gheto siku kadhaa ili ajikusanye akapange gheto lake).

Ye alikua anapigia guest na mimi napigia gheto.
Demu alikua akitaka kuja gheto jamaa anaenda chuo kusoma.

Mpaka jamaa anapata gheto, ikawa akimtaka anamuita gheto lake, na mimi nikimtaka namwita ghetoni kwangu.

Kila mtu alikua anasugua mbunye kwa wakati wake.

Ila bana Kuna siku tulizingua....

Jamaa angu aliniazima PC akafanye assignment ghetoni kwake.

Sasa bana PC nilibadilisha wallpaper nikaweka picha ya masela (tulipiga selfie kwenye sherehe moja hivi na wote wawili tulikuwepo kwenye hiyo selfie).

Ile demu kuona PC akashtuka (alikua aijua, maana alikua akija gheto naweka mziki au movie tunacheki).

Demu kuwasha PC anakuta sura zetu wawili kwenye wallpaper (nailaani sanaa ile wallpaper, siijui kwanini nilibadilisha ya Liverpool na kuiweka ile then tukashtukiwa).

Demu aliandika bonge la gazeti la lawama WhatsApp...!!

Nilichomjibu """PUNGUZA UMALAYA, UMEFANYWA MALAYA KWASABABU ULIJIONA MALAYA NA UKA ACT UMALAYA"""

#YNWA

Khaaaa....!!!!😳😳😳😳

Kweli ujana maji ya moto.
 
Nishaolewa mkuu ila nilipata mtoto kabla ya kuolewa....hivyo bado naumia kwanini tunadharaulika ivi ingali wasababishaji ni nyie wenyewe
Wewe si yule ambae upo na mume usiye mwelewa, ambae umekubali akuoe kwasababu ya Uchumi wake?

Kwamba kitandani hata umfeel kabisaa?

#YNWA
 
Ushawatest sana eeh?
Singo maza watamu hasaa sijui kwanini...!!!

Hapa nipo kwenye harakati ya kubembeleza Singo maza watatu wanipe.

Wawili wamesha confirm kabisaa kunipa mbunye.

Wa kwanza ni short chesesi moja nzurii ina churaa hiyoo.
Nilikua nabembeleza kupewa tokea mwaka jana Ila Alhamisi ya juzi asubuhi kabisa nikiwa kazini napokea hii sms...

Yaani hapa natafuta ki activity cha ofisi cha kwenda kufanyia Dar ili niende kikasugue hii mbunye.

Natamani ofisi initume niende Dar hata kesho..!!

Screenshot_20210516-091754.png

---------------------------------------------------
Ya pili nimeanza kuibembeleza March mwaka huu mpaka leo anazingua.

Nae yupo Dar.

Ni Singo maza Toto jeupee, chura kama yotee, kifupi LIMEUMBIKA.

Ipo siku tu ATANIELEWA.

Juzi kaomba hela ya sikukuu, nikamjibu "Mwekezaji anawekeza pesa zake kwenye return" dah akaamua kuchuna kabisa.

Wakati zamani ilikua kila siku ananitumia sms, nikianza kuomba mbunye ananikwepesha "Hadi uje kunitolea Posa" sasa kwani nani anataka kuoa Singo maza?

Sasa Mimi nitagharamia vipi sehemu ambayo sina uhakika wa kupewa Mbunye? nipe Nikupe, win win situation bana.
----------------------------------------------------
Hii ya tatu ipo mkoa wa jirani.

Ni black beauty moja model Tamu sanaa.

Nilianza kuomba tokea mwaka 2019 mwezi 11, HUWA SIKATAGI TAMAA KWENYE MAISHA YANGU.
HII NDIO KANUNI YANGU, NIKITAKA KITU KUKATA TAMAA MWIKO.

Nimeimbishaa mpaka juzi nae kani promise ""Akija huu mkoa niliyopo (huku ni kwao, huko alipo ni kazini. Na huko kazini ni mkoa wa jirani)"" ATANIPA MBUNYE.
Screenshot_20210516-092701.png

-----------------------------------------------------
Nilichogundua mtoto wa kike, ukiomba mbunye yake vyovyotee atakavyokujibu we USIKATE TAMAA.

Endelea kubembeleza na kuwa mpole IPO SIKU ATAKUPA TU.

AM ADDICTED TO SINGLE MAZA.

Nimekula nyingi sanaa, nao ni binadamu wanastahili kupendwa.

#YNWA
 
Inawezekana hata wewe ulikuwa tatizo la kuachwa
Nishaolewa mkuu ila nilipata mtoto kabla ya kuolewa....hivyo bado naumia kwanini tunadharaulika ivi ingali wasababishaji ni nyie wenyewe
 
Back
Top Bottom