MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Wewe mfuatiliaji basi nakuomba uniweke (utuweke) wazi labda lilifanyika lini huko nyuma hasa kwa Marais wa Zanzibar waliomaliza mihula yao?Sio hukuona sema ulikuwa hufuatilii
Nakubaliana nawe kwa hili tena kwa 100% kuwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi hapo Zanzibar Isles yupo katika Mazoezi ya kuja kuwa Rais wa Mainland.Nyota njema huonekana asubuhi.
Safari ya 2025 yawezekana ndio imeanza!
Wewe utayaona Mambo uliyofikiri kwenye akili yako ifikapo 2025Nyota njema huonekana asubuhi.
Safari ya 2025 yawezekana ndio imeanza!
Hawezi kuwa rais wa Tanzania? Majaribio na rukhsa yaliisha kwa baba yake. BTW tunahitaji chuma kingine wakati JPM akimaliza muda wake hatutaki masihara, nchi inataka kwenda mbele sio kedekeza vifisadi.Nakubaliana nawe kwa hili tena kwa 100% kuwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi hapo Zanzibar Isles yupo katika Mazoezi ya kuja kuwa Rais wa Mainland.
Ndo maana aliwahi kuwa mbunge wa mkuranga au kisarawe nimesahau
MkurangaMwinyi ni kama Mtanzania bara
Wazanzibari wengi hawamjui
Ndo maana aliwahi kuwa mbunge wa mkuranga au kisarawe nimesahau..
Sasa lazima waende kujitambulisha awafaham
Hivi wewe hauna uwezo au hata mjomba wako hawezi kugombea urais wa Tanzania, mpaka umpigie debe mtu aliyekataa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria na huku akikataa kufanya internship?Raisi ajae wa JMT
Hivi wewe hauna uwezo au hata mjomba wako hawezi kugombea urais wa Tanzania , mpaka umpigie debe mtu aliyekataa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria na huku akikataa kufanya internship ?
Kwa kuwa huyo ndiyo Rais aliyeingia kwa kura nyingi zaidi za wizi kuliko Rais mwingine yeyote, huko nyuma!Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala ( issues ) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.
Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki ( hata yale Nyeti ) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
Wewe utayaona Mambo uliyofikiri kwenye akiri yako ifikapo 2025
Ndiye Rais ajae wa Tanzania, haina mjadala.Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala ( issues ) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.
Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki ( hata yale Nyeti ) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
Hivi wewe hauna uwezo au hata mjomba wako hawezi kugombea urais wa Tanzania , mpaka umpigie debe mtu aliyekataa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria na huku akikataa kufanya internship ?
Wabongo nani kawaloga kiroho mbaya namna hiyo ?
Inaonekana una majibu yako tayari, kwanini unahangaisha watu humu?Nakubaliana nawe kwa hili tena kwa 100% kuwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi hapo Zanzibar Isles yupo katika Mazoezi ya kuja kuwa Rais wa Mainland.