Sikuliona hili kwa waliokuwa Marais wote wa Zanzibar, kwanini linafanyika sasa kwa Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi?

Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine.

Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.

Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki (hata yale Nyeti) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
Wastaafu marais wafuate ya Salimin Amour, ame retire kimya, siyo hawa JK, Mwinyi kila siku kwenye news. Mara kupewA majumba, magari etc
 
Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine.

Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.

Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki (hata yale Nyeti) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
Anaandaliwa kuwa R JMT.
 
Back
Top Bottom