Ya sasa hivi inang'oa hata vijana, wote tujikinge! Ref. Khalfan SK, Cpuaaaaaa etc. Chunga maisha yako pia na ya wenzio!Boss umri umekwenda usiache kuvaa barakoa naona umeanza kusahausahau!! Alikuwa mbunge wa Mkuranga!!!!
Ni kweli wabongo tumerogwa maana tukiambiwa ukweli tunalialia, wewe kama una uwezo si ugombee tuu ila ukweli ndio huo, mark my words.Hivi wewe hauna uwezo au hata mjomba wako hawezi kugombea urais wa Tanzania , mpaka umpigie debe mtu aliyekataa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria na huku akikataa kufanya internship ?
Wabongo nani kawaloga kiroho mbaya namna hiyo ?
Nakubaliana nawe kwa hili tena kwa 100% kuwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi hapo Zanzibar Isles yupo katika Mazoezi ya kuja kuwa Rais wa Mainland.
Kuna DALILI zote huyo Mwinyi ndio chaguo la CCM/Magufuli 2025.Mwinyi ni kama Mtanzania bara
Wazanzibari wengi hawamjui
Ndio maana aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga au Kisarawe nimesahau..
Sasa lazima waende kujitambulisha awafahamu
Jiwe ameshamwambukiza Mwinyi ushamba.Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.
Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki (hata yale Nyeti) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
Hivi wewe hauna uwezo au hata mjomba wako hawezi kugombea urais wa Tanzania, mpaka umpigie debe mtu aliyekataa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria na huku akikataa kufanya internship?
Wabongo nani kawaloga kiroho mbaya namna hiyo?
Hawezi kuwa rais wa Tanzania? Majaribio na rukhsa yaliisha kwa baba yake. BTW tunahitaji chuma kingine wakati JPM akimaliza muda wake hatutaki masihara, nchi inataka kwenda mbele sio kedekeza vifisadi.
Lakini kumbuka aliyeondoa masuala ya vijana kuingia/jiunga mafunzo ya kijeshi JKT alikuwa ni Baba yake yaani Mzee Mwinyi.
Kwa bahati nzuri, Dk.Hussein aliteuliwa kuwa Waziri wa ulinzi zaidi ya mara moja, alijifunza mengi akiwa ni waziri wa ulinzi, hata kama hakupitia mafunzo ya JKT hiyo haijalishi. Maoni yangu.
Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.
Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki (hata yale Nyeti) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
Hawezi kuwa rais wa Tanzania? Majaribio na rukhsa yaliisha kwa baba yake. BTW tunahitaji chuma kingine wakati JPM akimaliza muda wake hatutaki masihara, nchi inataka kwenda mbele sio kedekeza vifisadi.
Mungu Ibariki CHADEMAHivi wewe hauna uwezo au hata mjomba wako hawezi kugombea urais wa Tanzania, mpaka umpigie debe mtu aliyekataa mafunzo ya JKT kwa mujibu wa sheria na huku akikataa kufanya internship?
Wabongo nani kawaloga kiroho mbaya namna hiyo?
Kwan katiba inamzuia mzanzibar kugombea ubunge bara?Mwinyi ni kama Mtanzania bara
Wazanzibari wengi hawamjui
Ndio maana aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga au Kisarawe nimesahau..
Sasa lazima waende kujitambulisha awafahamu
Madelu atamtoa mtu sikio, afe kipa afe Lugola ....Nakubaliana nawe kwa hili tena kwa 100% kuwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi hapo Zanzibar Isles yupo katika Mazoezi ya kuja kuwa Rais wa Mainland.
Oh, is it? Kwa hiyo anapokuta na makamanda for briefing, anapo husishwa kwenye tenda za kuagiza silaha mpya, kuhudhulia ufunguaji na ufungaji wa mazoezi ya kijeshi - una hakika huko kote hakujifunza kitu kuhusu masuala ya jeshi?Waziri wa ulinzi nchi hii ni cheo ceremonial tu.
kipya kinyemi kibaya cha zamani, tatizo unatumia elimu ya sekondari tu ,ya msingi imekutoka nini??Tokea aingie Madarakani Viongozi mbalimbali hasa wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wanamiminika Ikulu Kisiwani Zanzibar Kujitambulisha pamoja na Jaji Mkuu na Waandamizi wengine. Ni Mfuatiliaji kidogo wa Mambo / Masuala (issues) mbalimbali ila tukio hili sikumbuki kama Marais wengine wa Zanzibar walikuwa wakifanyiwa na Sisi Wananchi Kuonyeshwa kama huyu wa sasa.
Je, kwa wale Wabobezi wa Siasa na Masuala ya Itifaki (hata yale Nyeti) hapa JF kwanini iwe so Special hivi sasa kwa Rais Dk. Hussein Ali Mwinyi?
Smartphone ndugu ila nilirekebisha...“Akiri”tumia neno akili
Jiwe ni fisadi sana sema hujui tuHawezi kuwa rais wa Tanzania? Majaribio na rukhsa yaliisha kwa baba yake. BTW tunahitaji chuma kingine wakati JPM akimaliza muda wake hatutaki masihara, nchi inataka kwenda mbele sio kedekeza vifisadi.