GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Nalaila Kiula alikuwa Waziri wa ujenzi?Mwigulu ni kama Nalaila Kiula katumwa kuzitafuna Kodi zetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nalaila Kiula alikuwa Waziri wa ujenzi?Mwigulu ni kama Nalaila Kiula katumwa kuzitafuna Kodi zetu.
Huyu jamaa yenu tangu akiwa bungeni sijawahi ona mchango wake kwa taifa. Kuna watu walikuwa wapinzani mpaka leo ni mashujaa kweli wa kukumbukwa mfano akina kafulila, zito, silaa n.k . Lakini huyu jamaa yenu zaidi ya kuongea mnooo hakuna chakumkumbuka
Yeye na Ladwa walikuwa na kashfa katika Ujenzi wa Barabara pale Sekenke kama sikosei.Nalaila Kiula alikuwa Waziri wa ujenzi?
Huyoo jamaa yako hakuna kitu chochote aliwahi kukubaliana na serikali zaidi ya kupinga kila kitu. Leta sheria au kikao alichowahi kupitisha neno la ndio. Kwa ujumla hajawahi saidia serikali hiii kwa chochote. Anajua kulalamika na kujiona yeye ndie anayejua kila kitu. Mshaurini awe mzalendo."Nikiwa spika wa Bunge, Tundu Lisu alilisaidia sana Bunge na Taifa kwa ujumla, kwenye utungaji wa sheria. Kuna wakati Serikali ilikuwa inaleta miswada yenye kasoro au imefichaficha, ni Tundu Lisu ndiye alikuwa na uwezo wa kutambua kasoro au ubaya wa miswada hiyo. Iliporudishwa, Serikali ilirekebisha mara moja" - Anna Makinda.
SongelaKawaida watu wa Singida sisi si waongo ila yule Mwigulu sijui vipi!!
Huyu amekyzidi vyote, akili na pesa.Huyu jamaa yenu tangu akiwa bungeni sijawahi ona mchango wake kwa taifa. Kuna watu walikuwa wapinzani mpaka leo ni mashujaa kweli wa kukumbukwa mfano akina kafulila, zito, silaa n.k . Lakini huyu jamaa yenu zaidi ya kuongea mnooo hakuna chakumkumbuka
Lisu mwongo Tena mno mfano alisema Mlinzi wa Magufuli kafariki wakati sio kweli pia akasema Tanzania itashitakiwa MIGA haikushtakiwa akasema Lowasa fisadi badaye akasema sio kweli akaidhinidha awe mgombea Uraisi Chadema akasema karibuni kuna prsa za mama Abdul katoa kuhonga chaguz ndani ya Chadema hakutoa ushahidi hata mmoja wa hizo tuhuma
SawaWa nini. Jamaa yenu nje na porojo taja jambo lolote alilowahi kuibua kwa manufaa ya taifa
Utakuwa mmcheppukkoHuyu jamaa yenu tangu akiwa bungeni sijawahi ona mchango wake kwa taifa. Kuna watu walikuwa wapinzani mpaka leo ni mashujaa kweli wa kukumbukwa mfano akina kafulila, zito, silaa n.k . Lakini huyu jamaa yenu zaidi ya kuongea mnooo hakuna chakumkumbuka
Wewe hata utukane vp, jamaa yenu nje na mipasho hamna kituuu. Yeye kila kitu nikupoyokapoyoka tuuu.Utakuwa mmcheppukko