Sikumbuki ni lini Tundu Lissu aliwahi kudanganya kwa kudhamiria, huyu ni Mwanasiasa wa Kipekee sana!

Huyu jamaa yenu tangu akiwa bungeni sijawahi ona mchango wake kwa taifa. Kuna watu walikuwa wapinzani mpaka leo ni mashujaa kweli wa kukumbukwa mfano akina kafulila, zito, silaa n.k . Lakini huyu jamaa yenu zaidi ya kuongea mnooo hakuna chakumkumbuka

"Nikiwa spika wa Bunge, Tundu Lisu alilisaidia sana Bunge na Taifa kwa ujumla, kwenye utungaji wa sheria. Kuna wakati Serikali ilikuwa inaleta miswada yenye kasoro au imefichaficha, ni Tundu Lisu ndiye alikuwa na uwezo wa kutambua kasoro au ubaya wa miswada hiyo. Iliporudishwa, Serikali ilirekebisha mara moja" - Anna Makinda.
 
Huyoo jamaa yako hakuna kitu chochote aliwahi kukubaliana na serikali zaidi ya kupinga kila kitu. Leta sheria au kikao alichowahi kupitisha neno la ndio. Kwa ujumla hajawahi saidia serikali hiii kwa chochote. Anajua kulalamika na kujiona yeye ndie anayejua kila kitu. Mshaurini awe mzalendo.
 
Huyu jamaa yenu tangu akiwa bungeni sijawahi ona mchango wake kwa taifa. Kuna watu walikuwa wapinzani mpaka leo ni mashujaa kweli wa kukumbukwa mfano akina kafulila, zito, silaa n.k . Lakini huyu jamaa yenu zaidi ya kuongea mnooo hakuna chakumkumbuka
Huyu amekyzidi vyote, akili na pesa.
Pia na umaarufu.
 
Lisu mwongo Tena mno mfano alisema Mlinzi wa Magufuli kafariki wakati sio kweli pia akasema Tanzania itashitakiwa MIGA haikushtakiwa akasema Lowasa fisadi badaye akasema sio kweli akaidhinidha awe mgombea Uraisi Chadema akasema karibuni kuna prsa za mama Abdul katoa kuhonga chaguz ndani ya Chadema hakutoa ushahidi hata mmoja wa hizo tuhuma
 
..na mabilioni tuliyokamuliwa kwa kuvunja mikataba na makampuni ya madini tulishtakiwa wapi?
 
Huyu jamaa yenu tangu akiwa bungeni sijawahi ona mchango wake kwa taifa. Kuna watu walikuwa wapinzani mpaka leo ni mashujaa kweli wa kukumbukwa mfano akina kafulila, zito, silaa n.k . Lakini huyu jamaa yenu zaidi ya kuongea mnooo hakuna chakumkumbuka
Utakuwa mmcheppukko
 
Lissu hakurupuki. Anasoma sana kitu ambacho wanasiasa wengi ni wavivu kufanya.
 
Back
Top Bottom