Sikumuona Diamond huko Uganda kwenye mazishi, au macho yangu?

Nibozali

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
572
Reaction score
1,055
Sijui ni macho yamgu au vipi! Wenzangu vipi mumemuona huko mzee Wa wasafi? Au alituma mwakilishi yeyote?
 
Mpaka huu msiba uishe wengi wenu mtakuwa mmeachwa na waume zenu maana hata mapishi sasa hayapikiki mko busy kufuatilia msiba nchi jiran
Kama una utani na nibozali haya.
Wewe si wa kumwambia nibozali ataachwa na mumewe.muombe radhi.
 
Duuuu hapo hata hujampikia mumeo unakimbilia habari za uganda.
 
Unaendaje zika mwanaume aliekua akimtia mkeo?
Utajisikiaje atapokua akilia ?
Utakumbuka nini kuwa siku ukifa na yeye atakuaga na mdume mwingine utamchukua?
 
Niombee radhi mkuu, sikufahamu kama ni ME.
Samahani ME wa Dar kwa sababu sisi wa mikoani hatunaga hayo mambo ya kufuatilia mambo ya watu.
Wa mkoani mwenzio huyo.ona avatar yake.naona amesikia.atakuwa amekusamehe.
 
VIDEO YA ZARI AKIGONGA KINYWAJI WAKATI WAKIELEKEA KWENYE MAZISHI YA EX MUME IVAN SEMWENGA.
 
Askanyage mazikoni, huyo ni rival wake, akikanyaga mazikoni yawezekana akavaliwa na mzimu wa mgovi wake. Na ataweza kupooza au kufa ndani ya miezi mitatu. Asiende ni noma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…