Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama una utani na nibozali haya.Mpaka huu msiba uishe wengi wenu mtakuwa mmeachwa na waume zenu maana hata mapishi sasa hayapikiki mko busy kufuatilia msiba nchi jiran
Niombee radhi mkuu, sikufahamu kama ni ME.Kama una utani na nibozali haya.
Wewe si wa kumwambia nibozali ataachwa na mumewe.muombe radhi.
Wa mkoani mwenzio huyo.ona avatar yake.naona amesikia.atakuwa amekusamehe.Niombee radhi mkuu, sikufahamu kama ni ME.
Samahani ME wa Dar kwa sababu sisi wa mikoani hatunaga hayo mambo ya kufuatilia mambo ya watu.
Cdhan kam ingeleta picha nzur... Amefanya poa kutokwenda n big up diamondSijui ni macho yamgu au vipi! Wenzangu vipi mumemuona huko mzee Wa wasafi? Au alituma mwakilishi yeyote?