Sikushauri kununua Impreza subaru

Kweli kabisa
 
Oyaa nunueni tu tumechoka na hizi IST Kila kona...kwanza bei ya Impreza sasa hivi iko chini zinavyokua nyingi hata upatikani wa vifaa na mafundi nao utakua mkubwa.
 
Ni sahihi ukifeli service imekula kwako Ina engine Ya EL15
 
Bado huna uwezo wa kumiliki gari, wewe nunua Bajaj!

Magari yangu ya Ulaya uwa nikienda kwa fundi namwambia tengeneza hiki na hiki.
 
Samahani mkuu hv wrx na wrx sti n cc ngap?
Na waweza vp kuzifahamu?
 
Unainua kwa kuweka spacer or inainuka yenyewe automatic
 
Mleta uzi haijui hii gari,ukinipa ISTna hii nachsgua hii,CC 1500
 
Hii na zile Impreza old ipi n reliable sana, naona haya maboresho yaliofanyika kuanzia 2012 hayajachangamkiwa sn na raia km impreza old
Hizo za 2012 zina gearbox ya CVT, ambazo kuishi maisha marefu ni probability.
 
Hizo za 2012 zina gearbox ya CVT, ambazo kuishi maisha marefu ni probability.
Ahaa!!! Kwa maana hiyo hizi apa chini kidogo ni mkataba.
 

Attachments

  • 48A19473-8E07-40CB-9C72-177392A7E536.jpeg
    329.3 KB · Views: 12
Reactions: Cyb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…