Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

Ukweli ni kwamba Israel wana uwezo mdogo na hawawezi kushindana na Iran, zingatia neno Israel pekee hawana uwezo, hadi wasaidiwe ndio kidoogo wanapiga kelele

IMG_20240419_143226.jpg
 
Iran wamesema hadi sasa hawajui nani kahusika na hayo mashambulizi.
Wamesema kuwa mashambulizi yametokea ndani ya Iran na karibi na Azerbajian
Yaliyo husika hapo ni magaidi ya Israel na Marekani
 
Inaonekana wametumia vidrone vya kawaida sana, picha zinazoonyeshwa ni kama zile drone za kwenye maharusi au wanazotumia kurekodia kwaya.
View attachment 2968115

Pia nimeshangaa gazeti la Jerusalem post kuweka picha ya mashambulizi ya Gaza kuonyesha ndio picha ya shambulizi lake Iran.
View attachment 2968087

Kuna matatu
1: Amewaogopa Iran. Maana israel utaratibu wake ni ukimpiga na bomu moja yeye atakupiga na mabomu laki. Ukijibu laki yeye anakupiga mabomu millioni.

2: Ujanja wa US 🇺🇸 kusema kuwa Israel wajifanye wamelipua Iran, ili habari isambazwe ionekane kama wamejibu kuficha aibu ili mambo yaishe.

3: Mungu amejibu maombi maana mkuu wa atomic wa Iran amesema Hakuna kilichoharibiwa. Na kama wakiendelea kuwachokoza itabidi nao kwa haraka watengeneze silaha ya atomic ili kuwahughulikia Israel.
Hadi sasa naona Mungu yuko upande wetu wapenda amani maana pale middle east pakifungwa kwa vita dunia nzima itasimama na sisi huku nchi masikini ( Raia kuwa masikini ni kujitakia) tutaathirika pakubwa sana.

Ni hayo tu.
Point namba 3 naona kama ina contradict point namba 1 na 2.
 
Wana mwezi wa 6 kuimaliza mbagala(palestine)na wale panya road (hamas)ulitegemea wanaweza kujibu kwa uzito!
 
Kwa vile umendika uzi wa kuonesha kuidharau Israel, basi nakuhakikishia kuwa huu uzi wako, muda mchache tu utaunganishwa na uzi mungine ili kuuficha uzi wako usiendelee kuonesha kuwa Israel sio lolote si chochote kwa Iran, na pia kupoteza kile ulichoandika.
Wewe na hao mabwana zako mjambe mkalale
 
Tuliwambia ila hamkutaka kusikia,Iran sio hamas Israel mwenyewe anajua ilo ndo maana awezi fanya kitu.ingekuwa lebanon au Syria ndo wamefanya ivyo ungesikia kabisa sitaji kusikia chochote.usiku uwo uwo mvua ya mabomu ingeshuka.
Wale majemedari waliouwawa na Israel washachukua bikira 72 kila mmoja au bado?
 
Back
Top Bottom