Sikutarajia Israel Wajibu kinyonge hivyo, wenda maombi yetu ya amani yamesaidia

Iran wamesema hadi sasa hawajui nani kahusika na hayo mashambulizi.
Wamesema kuwa mashambulizi yametokea ndani ya Iran na karibi na Azerbajian
Yaliyo husika hapo ni magaidi ya Israel na Marekani
 
Point namba 3 naona kama ina contradict point namba 1 na 2.
 
Wana mwezi wa 6 kuimaliza mbagala(palestine)na wale panya road (hamas)ulitegemea wanaweza kujibu kwa uzito!
 
Wewe na hao mabwana zako mjambe mkalale
 
Tuliwambia ila hamkutaka kusikia,Iran sio hamas Israel mwenyewe anajua ilo ndo maana awezi fanya kitu.ingekuwa lebanon au Syria ndo wamefanya ivyo ungesikia kabisa sitaji kusikia chochote.usiku uwo uwo mvua ya mabomu ingeshuka.
Wale majemedari waliouwawa na Israel washachukua bikira 72 kila mmoja au bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…