matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
- Thread starter
-
- #41
Ili uanze pray for iran kufurahisha mabwana zako
😄 Waziri wa nje wa Iran amesema silaha za Israel ni kama mchezo wa watoto wa Iran.
😄 Waziri wa nje wa Iran amesema silaha za Israel ni kama mchezo wa watoto wa Iran.
Haya mke wangu, usipende kuwa na hasira kwa sababu ya mimba changa uliyokuwa nayo. Ndo ukubwa huo mama watoto, nimepanga safari hii ukizaa sikuzalishi tena bibie.Wewe na hao mabwana zako mjambe mkalale