Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Tatizo la kule ni dini isiyokuwa na tija kwa wananchi, ni kama Tanga au Bagamoyo tu. Mtu anaamka asubuhi kavaa shuka aliyolalia jana na kwenda kushinda msikitini hata mswaki hajapiga. Hana wazo la kwenda shambani kufanya kazi wala nini, anataka kukaa tu na wenzake wakisengenya waendao makazini kuwa wanaringa na kutishia maisha yao.
Mpuuzi wewe hizo korosho umelima wewe? Kama huwezi changia si ungenyamaza tu kuliko kuonyesha upuuzi wako,ni bodaboda wewe eh??
 
Zanzibar lazima uone aibu😀😀
1. Ikifika kipindi cha ramadhan wanapita na mafimbo kuchapa watu wanaokula mchana. Migahawa na maduka ya chakula yanafungwa ni lazima. Hakuna kula nje wala kupika nje la sivyo viboko vinakuhusu.
2. Ligi kuu ya Zanzibar inasimama ili watu wakale daku na futari. Unasimamisha mechi za mpira kisa futari? Hii aibu. Hapa bara ligi ya mpira inachezwa km kawaida.😀😀😀
Aibu
Zanzibar wamelostika na ndiyo maana wananchi wake hawaeleweki.
 
Chuki ni kitu kibaya mno eti mtu anawalaumu wana kusini kisa hawana maji wala barabara za lami😆😆😆😆.... Hivi tuwe wakweli nchi hii kuna jamii waliyojenga barabara za lami wao wenyewe? Mungu wa ajabu sana kusini tuna fursa nyingi mno na rasilimali za kutosha,Kuna kipindi mzee lowasa yupo waziri alikuja kung'oa mashine ya kusukuma maji kule mitema akaileta nyingine ambayo ni mbovu yote ni kwa ajili ya kutukomoa sisi, ndipo hapo tukaanza kufukua visima kwa ajili ya kuvuna maji ya mvua ambavyo tunatumia mwaka mzima....Aliyefika wilaya ya newala na tandahimba atakubaliana na mimi kuwa hakuna sehemu yenye visima vingi nchi hii kuzidi sehemu hizo
 
Naomba mnaochangia hoja muchangie kwa stara, sikuleta hii mada kwa sababu za udini au ili kuleta marumbano kati ya watu wa pwani na wa bara. Ningependa kuona watu wakichangia hoja kwa kutoa fursa zilizopo katika eneo husika pia kushare nasi pamoja experience yake kuhusu mkoa wa mtwara bila ya maneno ya kejeli, ukipinga hoja pia pinga kwa ustaarabu.
Mtwara na lindi ni mikoa yenye fursa kubwa sana ya ardhi,hivyo kama mwekezaji ukitaka ardhi ya kutosha nenda mikoa hiyo hasa katika suala la kilimo na ufugaji.

Pia uwepo wa bahari fursa za uvuvi na mazao ya bahari nayo ni kubwa.

Ila fahamu tu watu wa kusini kiasili ni wavivu,na wakipata hela kidogo ya korosho ndio basi tena hupati hata kibarua shambani kwako,hadi hela za korosho ziishe ndio utawaona 😅.

All in all kusini kuna watu wakarimu na wanao penda wageni japo sio maeneo yote.
 
Back
Top Bottom