Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Mnaangalia mazao yenye pesa?😀😀😀 Mbona Mtwara, Lindi, Pwani na Tanga imefubaa hakuna hata maendeleo?Kweli wewe binti ni chizi sasa mbona huku kusini maeneo ya mnacho watu wanalima vitunguu? Na hayo mahindi watu wanalima sana wilaya ya newala ila tunachoangalia sisi ni zao lipi lina pesa nyingi ... Mungu akikubariki amekubariki aisee kiufupi kusini imebarikiwa mno wenzio walishajaribu kupeleka mikorosho huko kwenu ila ilifeli vibaya mno😆😆😆😆 ukiwa na minazi 100 kwa mwaka inakuingizia shiling milion 5
Korosho, minazi, mbaazi na karanga. Hayo ni mazao ya wavivu na wenye akili za umasikini na miji inayojikita kwenye hayo mazao huwa ni masikini.
Umepanda mikorosho mingi na minazi ili upate muda mwingi wa kunywa kahawa, kula kashata na kucheza bao huku umevalia msuli kama mwanamke ajuza😀😀😀