Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Heri Wasukuma wanaamini katika dini za jadi.. vipi kuhusu hao wanaoamini katika dini mnazoziita za haki huku wakishinda misikitini na kuswali swala tano huku ni washirikina wakubwa.
Wewe ni poyoyo kama walivyo mapoyoyo. Sina haya ya kipoteza muda kumuelimisha poyoyo.
 
Mtizamo wa Kipumbavu! Usiamini Kila unayosikia!

Vipi kuhusu Rombo ambao wao ni kupiga ulabu tu mpaka wanshindwa kutembea!
Kuna watu ni wajinga kuanzia yy mpaka kabila lake hv unanzaje fursa za mtwa ukatteibutr na dini vp yy mbo a huo mkoa wake wanashinda makanisani hauna hzo fursa je huko wanakoswali na kutokea dini mbona wanamaendeleo kuliko yy na ukoo wake na nchi yake ila jitu likizoea kuzini akikosa hata mama yake hulala nae ndo huyu mjinga alietoa moment ya kukashifu dini za watu bt ndio mafundisho yao muulize masasi nao au nilewala na namtumbo wanakesha msikitini
 
Ubishii wa vijiweni umekutawala boss, nilifika kusini nilichukizwa sana na uvivu wa wanaume.Wao ni kuamka na kwenda migundini kupiga stori.Yaani nilitamani niwe RC tu niwanyooshe,napiga marufuku migundini mpaka saa 9 ,ukionekana Kabla nasweeka ndani
Huwa nawashangaa sana watu wa bara sisi huku mtwara tunalima mazao maarufu nchini kuanzia korosho,mbaazi na ufuta sasa huwa nashangaa mno tunapoitwa sisi ni wavivu...au kipimo cha uvivu ni kutokuwa wachukuzi wa magunia kama wasukuma?
Wa
 
Korosho, mbaazi na ufuta ni mazao ya kivivu
Sehemu yenye wavaa kobazi wengi hawana maendeleo angalia Singida, Shinyanga mjini, Pwani, Lindi, Tanga na Mtwara.
Mikorosho imepandwa miaka 15 iliyopita kama maembe halafu anajiita mchapakazi😀😀😀😀
Nilienda Masasi kijiji cha Kinamatunu. Kutoka kijiji mpaka masasi kwa mguu unatumia dk 45 mpk 50 kufika lkn hakina mabomba ya maji wala umeme. Nenda Karatu (Mang'ola, umeme na maji ya bomba ni uhakika). Wairaq wanaendesha Land cruiser na Defender (TDI) ambapo huko kwenu ukiona ni magari ya serikali tena taasisi, jeshi au polisi. Ni miti ya mikorosho tu imepandwa ili apate muda mwingi wa kupumzika.
Unamanisha nn mbona wagalatia wa Tanzania ni wajinga hv ww hujui kama serikali ndio inapeleka maendeleo kwa huko kwenye uzao wako unaoleta malaya dar je hujui kama kodi ya mtwara ndio imejenga hyo miji yenu ya jangwani kabla ya kuandika fanya utafiti je ni mji au mkoa gani umejikusanyia pesa ikazitumie yenyew je mpk sasa unataka mtwara walime hayo mazao unayoita ya kishujaa regardless soil na climate hv mkishavaa tai juma pili hua mnajiona ni expert kwa kila jambo
 
Korosho imeleta maendeleo kwenye mikoa yetu? 😀😀😀 Kama ni hivyo kuanzia wananchi mpaka viongozi wanatakiwa wachapwe viboko 2000 kwasabb hawajitambui.
Usidanganye watu, Mtwara unalima mazao yote na yana stawi shida watu wamekaririshwa mikorosho.
Korosho unavuna kwa mwaka mara mmoja tu, hiyo miezi mingine kuna mahitaji ya pesa. Mtu anakopa mpaka muda wa korosho kuuza hela inaenda kulipa madeni.
 
Naona nawe ni wale vilaza ninaowazungumzia, huelewi kitu gani hapa? Nimesema na nina ushuhuda huu, watu wa Manispaa ya MT / Mikindani akiamka asubuhi utakuta kavaa lishuka alilojambia kitandani jana usiku na anazurura mtaani ama misikitini na pwani siku nzima. Hana habari na nyumbani kaacha nini kwani hilo ni jukumu la mkewe, hao wanaoshinda pwani si kama wanavua, wako tu kule kupiga story huku wakinywa kahawa na kashata na akibahatika anaokota vidagaa walioachwa na wavuvi (wale dagaa wasiofaa) na kumpelekea mkewe nyumbani. Hapo toka asubuhi kashinda na shuka tu na pengine hata mswaki hajapiga.
We itakuwa uliishi Mtwara karne ya 20 hukoo.., mana hivo vitu sivioni kwa sasa. .
 
Nina mashaka makubwa mnooo na uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu, maana hata nikisema wapigaji, basi wangetumia hata hizi fursa kupiga, kiwanda cha bilioni 10, wao waseme bilioni 25, famililah tayari kuna ajira zimetengenezwa kule, kuna ulinzi wa wa fedha za kigeni.

Viongozi wetu hawafikirinimesikitaka dana aisee, ipo mahali kuna shida kubwa
Nina mashaka makubwa mnooo na uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu, maana hata nikisema wapigaji, basi wangetumia hata hizi fursa kupiga, kiwanda cha bilioni 10, wao waseme bilioni 25, famililah tayari kuna ajira zimetengenezwa kule, kuna ulinzi wa wa fedha za kigeni.

Viongozi wetu hawafikiri nje ya box.
Nimesikitika sana aisee , ipo mahali kuna shida kubwa sana.
 
Ubishii wa vijiweni umekutawala boss, nilifika kusini nilichukizwa sana na uvivu wa wanaume.Wao ni kuamka na kwenda migundini kupiga stori.Yaani nilitamani niwe RC tu niwanyooshe,napiga marufuku migundini mpaka saa 9 ,ukionekana Kabla nasweeka ndani
Wa
Wewe unatumia mihemko sana na unaongozwa na chuki bahati mzuri nimetembea mikoa yote nchini haya nitajie kwenu ambako hamna migundi wala vijiwe,Hivi watu washinde vijiweni sasa watakuwa wanapata wapi pesa za kuendesha maisha yao?
 
Korosho imeleta maendeleo kwenye mikoa yetu? 😀😀😀 Kama ni hivyo kuanzia wananchi mpaka viongozi wanatakiwa wachapwe viboko 2000 kwasabb hawajitambui.
Usidanganye watu, Mtwara unalima mazao yote na yana stawi shida watu wamekaririshwa mikorosho.
Korosho unavuna kwa mwaka mara mmoja tu, hiyo miezi mingine kuna mahitaji ya pesa. Mtu anakopa mpaka muda wa korosho kuuza hela inaenda kulipa madeni.
Aisee wewe ni mwehu kabisa mtwara tunalima korosho,ufuta,karanga na mbaazi bahati mzuri hakuna mkulima anaekaririshwa kulima zao fulani ila tunalima mazao kutokana na soko lililopo mpumbavu wewe
 
Tatizo la kule ni dini isiyokuwa na tija kwa wananchi, ni kama Tanga au Bagamoyo tu. Mtu anaamka asubuhi kavaa shuka aliyolalia jana na kwenda kushinda msikitini hata mswaki hajapiga. Hana wazo la kwenda shambani kufanya kazi wala nini, anataka kukaa tu na wenzake wakisengenya waendao makazini kuwa wanaringa na kutishia maisha yao.
Kwa hio mkuu hizo korosho zinajilima ? Hizo mbaazi zinajilima ? Au wanamisukule na maroboti yanawafanyia kazi ! Uongo mwingine ni wa kitoto sana. Ila wapo wajinga watakusapoti maana hii nchi reasoning ability ni ndogo.
 
Aisee wewe ni mwehu kabisa mtwara tunalima korosho,ufuta,karanga na mbaazi bahati mzuri hakuna mkulima anaekaririshwa kulima zao fulani ila tunalima mazao kutokana na soko lililopo mpumbavu wewe
Korosho, ufuta, mbaazi na karanga ni mazao ya wavivu. Utatukana sana na bado. Acheni kulima mazao ya wavivu. Mtu anapanda miti ya nazi na mikonge naye anajiita mkulima😀😀
Ukiwa unacheza bao huku umevaa msuli ndiyo unaanza kula sasa
Lima mpunga, mahindi, maharagwe na vitunguu maji. Si unaona mikoa yetu inavyong'aa? Nani anaweza kwenda Mtwara akashindia kula korosho, mbaazi, ufuta na karanga?😀😀😀😀
 
Hii sio sawa , kama hakuna sababu za msingi za kufanya hivo bhasi waanze kutumia bandari ya Mtwara kusafirisha ufuta.
Uhaba wa Container tupu ndio unafanya wafanyabiashara walete Dar. Pia mashine za kisasa za kusafisha Ufuta wengi wamefunga Dar
 
Korosho, ufuta, mbaazi na karanga ni mazao ya wavivu. Utatukana sana na bado. Acheni kulima mazao ya wavivu. Mtu anapanda miti ya nazi na mikonge naye anajiita mkulima😀😀
Ukiwa unacheza bao huku umevaa msuli ndiyo unaanza kula sasa
Lima mpunga, mahindi, maharagwe na vitunguu maji. Si unaona mikoa yetu inavyong'aa? Nani anaweza kwenda Mtwara akashindia kula korosho, mbaazi, ufuta na karanga?😀😀😀😀
Kweli wewe binti ni chizi sasa mbona huku kusini maeneo ya mnacho watu wanalima vitunguu? Na hayo mahindi watu wanalima sana wilaya ya newala ila tunachoangalia sisi ni zao lipi lina pesa nyingi ... Mungu akikubariki amekubariki aisee kiufupi kusini imebarikiwa mno wenzio walishajaribu kupeleka mikorosho huko kwenu ila ilifeli vibaya mno😆😆😆😆 ukiwa na minazi 100 kwa mwaka inakuingizia shiling milion 5
 
Nimepata fursa ya kufika eneo la MAGHALANI -MTWARA. Eh bwana eeh nilichokishuhudia imenifanya nijiulize mara mara mbili mbili kwa nini MTWARA mpaka sasa ipo nyuma kimaendeleo namna hii.

Yani maghala yamejaa magunia ya korosho na bandari ipo bize usiku na mchana. Order za watu zinasubiri meli zisepe, sawa tufanye hilo sio suala vipi kuhusu magari ya makaa ya mawe na Saruji yanayoingia na kutoka maghalani 24/7 mwaka mzima?.

Nadhani Serikali inapaswa kuongeza nguvu MTWARA ili kuharakisha maendeleo ukizingatia mikoa ya kusini ipo nyuma kimaendeleo.

MAPENDEKEZO.

Kuna maeneo yametengwa mtwara kwa ajiri ya Viwanda, hivyo basi kama Sekta binafsi zimeshindwa kufanya uwekezaji Serikali ijikakamue ijenge hata kiwanda kikubwa kimoja cha magunia (hasahasa ya katani) kwa sababu pesa nyingi tunapoteza kuagiza magunia ULAYA na ASIA.

Serikali itaweza hata kufanya ubinafsishaji mbele kwa mbele wakati huo uzalishaji ushaanza kama kuna muwekezaji atatokea. Na uzuri wake eneo la uzalishaji halitokuwa mbali na itakapotumika hiyo bidhaa ya magunia.

Kwa kujenga kiwanda cha magunia tutapiga ndege wawili kwa jiwe moja, tutaongeza zao lingine la biashara tofauti na Korosho ambalo ni Mkonge na ndo litakalolisha kiwanda cha magunia.
Usisahau kwamba ni juhudi za Mama hizo na maelekezo yake.
 
Acha ubishii,niwachukie kwa lipi,Badala ya kunipenda nawawazia mema unawaza fitina za kikwenu,sijaelewaa na jamii ya kinafiki kufagilia upuuzi.Kusini kuuendelea mmpaka wahamiaji wawe wengi pia palipo na uislamu wakilofa hapanaga maendeleo kwa blacks. Mfano Mzuri ni Masasi wakristo vs Lindi town
Wewe unatumia mihemko sana na unaongozwa na chuki bahati mzuri nimetembea mikoa yote nchini haya nitajie kwenu ambako hamna migundi wala vijiwe,Hivi watu washinde vijiweni sasa watakuwa wanapata wapi pesa za kuendesha maisha yao?
Ha
 
Acha ubishii,niwachukie kwa lipi,Badala ya kunipenda nawawazia mema unawaza fitina za kikwenu,sijaelewaa na jamii ya kinafiki kufagilia upuuzi.Kusini kuuendelea mmpaka wahamiaji wawe wengi pia palipo na uislamu wakilofa hapanaga maendeleo kwa blacks. Mfano Mzuri ni Masasi wakristo vs Lindi town
Ha
Acha ubishii,niwachukie kwa lipi,Badala ya kunipenda nawawazia mema unawaza fitina za kikwenu,sijaelewaa na jamii ya kinafiki kufagilia upuuzi.Kusini kuuendelea mmpaka wahamiaji wawe wengi pia palipo na uislamu wakilofa hapanaga maendeleo kwa blacks. Mfano Mzuri ni Masasi wakristo vs Lindi town
Ha
Uislamu unakuuma sana? Uislamu wa kilofa upoje?
 
Back
Top Bottom