Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Danganya wengine kwa mashudu yako. Nishafika MtwaraWewe hujawahi kufika Mtwara ndo maana unaleta pumba zako hapa. Kwa taarifa yako Mtwara wakatoliki ni wengi zaidi kuliko dini zingine. Sababu za Mtwara kuchelewa kupata maendeleo haina uhusiano na udini. Mtrwawa hakuna udini bali Serikali ilichelewesha miundombinu muhimu kama vile barabara n.k
Hapo Mtwara kuna waislamu wengi tena wale wamwinyi. Wamekalia kupanda miti ya mikorosho tu mazao mengine hawataki kulima.