Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Hao ni wamakonde wa pembezoni mwa bahari wanaitwa wamalaba,nenda newala,tandahimba,masasi,nanyumbuuone watu wanavyopambana.
Uko sahihi, mimi naongelea manispaa ya Mtwara / Mikindani ambayo ndiyo imejaa hao wamalaba. Ni jamii ya hovyo sana, vyoo hawana wanakunya baharini ili kulisha samaki, wanaume na vijana wao wa kiume hawataki kufanya kazi wao wanaona kushinda pwani na misikitini kutetana ndiyo njia sahihi ya kuishi maisha yao. Wakazi wa kule hawana tofauti na ndugu zao wa Pwani yote ya Tanzania. Dini imewaharibu sana.
 
Usiwe mjinga na kunifananisha mimi na wewe, nimeishi kule miaka 5, nawajuwa wakazi wa kule walivyo. Huko vijijini wanakolima hawana tatizo hapa nazungumzia manispaa ya Mtwara yenyewe, kule hawana tofauti na mikoa ya Dar (Pwani za Dar), Bagamoyo, Zanzibar, Pemba, Kigoma, Tanga, Tabora. Nahisi kutawaliwa na Waarab na kuishi karibu na bahari na maziwa kumewaathiri akili wananchi wa hizi sehemu. Kwa kweli bila serikali kuwakamata na kuwachapa fimbo hawatakuja kuelimika kamwe.
Nazan wengi mnaongolea ushabiki wa ukanda.

Ila tambua kitu kimoja LINDi na mtwara ilistaarabika kabla ya sehemu nyingi apa tz.
Angalia mkoa wako mlianza kupata majengo ya kistaarabu kuanzia lini??

LINDi na mtwara wameanza kujenga majengo ya kudumu kabla ata nchi haijapata uhuru. Watu wa maeneo ya pwani walielimika kabla yenu bara.

Uku kulikuwa na viwanda, wafanyabiashara wakubwa, na mashamba makubwa makubwa.

Sasa nyerere akiwa kwenye harakati za kupambania uhuru alipofika huku alikuta tayari watu wana maendeleo yao kitu ambacho kilimuumiza sana.
Alisema kama watu wake wa bara wangekuwa kama wa pwani LINDi na mtwara zoezi la kudai uhuru lingekuwa rahic sana.

Mapokezi aliyoyapata huku yalimuuma, maana watu hawakumjali kila mmoja alikuwa bze na mbaga zake.

Akaahidi kuwa akipata uraisi atabadili pwani kuwe bara na bara kuwe pwani, akimaanisha atahamisha maendeleo ya pwani yawe bara na umasikin wa bara uje pwani. Na kweli alijitahidi kutimiza azma yake.

Kwahyo kudorora kiuchumi KWa watu wa mikoa ya pwani hususani LINDi na mtwara kunachangiwa KWa kiasi kikubwa na serikali.

Kuna sera kadhaa zimeathiri sana huku kuliko maeneo yoyote yale.
Sera ya KWANZA uanzishwaji wa vijiji vya kujitegemea ambayo ilifanyika sana kwa mikoa ya kusini ilikuwa ni pigo kubwa maana ni sawa na kuanza upya maisha ukiwa ugenini.

Sera ya pili ni ya ubinafsishwaji. Nayo iliathiri sana mikoa hii.maana kampuni na mashamba na vilikuwa ni vya watu binafsi hususani wahindi n.k.

Pamoja na kutopewa kipaumbele chochote na serikali lkn watu wa mikoa husika wameendelea kujipambania wenyewe mpaka hapo mnapowaona.

Kuna fursa nyingi zinazohitaji mkono wa serikali. Mfano rejea gesi. Kwann serikali iliondoa huku??

Lkn pia ww mwenyewe unafaham kuwa LINDi kuna gesi grade number moja dunian mpaka sasa serikali haitaki ichimbwe unajua kwann KWa sababu gesi ya LINDi huwez kuiamisha.

Ata hvyo nyie subirieni serikali ikitia maguu huku na kuruhusu mambo ya kimaendeleo nyie wote mtahamia huku.

Hivi unajua uwanja mkubwa wa ndege tz uko lindi unaitwa kikwetu?? Hapo ata boeng inatua.

Ngoja niache kwanza....
 
Kwani ni lazima wote wawe wakulima??
Kuna shughuli nyingi mfano uvuvi, unataka avue KILA muda??
Akienda kuvua usiku mchana lazima apumzike lkn bahari ikichafuka pia lazima apumzike punguzeni chuki
 
Umefika Mtwara kweli au unaongea tu? Haya yote unayoropoka si ukweli hakuna lolote la ukweli uliloongea, Mtwara wana vitabia zao ila haya uliyoyasema si ya ukweli.
TUeleweshane,nimefika masasi sio kubaya ila nasikia sehemu xingine hazieleweki
 
Usiwe mjinga na kunifananisha mimi na wewe, nimeishi kule miaka 5, nawajuwa wakazi wa kule walivyo. Huko vijijini wanakolima hawana tatizo hapa nazungumzia manispaa ya Mtwara yenyewe, kule hawana tofauti na mikoa ya Dar (Pwani za Dar), Bagamoyo, Zanzibar, Pemba, Kigoma, Tanga, Tabora. Nahisi kutawaliwa na Waarab na kuishi karibu na bahari na maziwa kumewaathiri akili wananchi wa hizi sehemu. Kwa kweli bila serikali kuwakamata na kuwachapa fimbo hawatakuja kuelimika kamwe.
Kosa lao ni nini?
 
Nazan wengi mnaongolea ushabiki wa ukanda.

Ila tambua kitu kimoja LINDi na mtwara ilistaarabika kabla ya sehemu nyingi apa tz.
Angalia mkoa wako mlianza kupata majengo ya kistaarabu kuanzia lini??

LINDi na mtwara wameanza kujenga majengo ya kudumu kabla ata nchi haijapata uhuru. Watu wa maeneo ya pwani walielimika kabla yenu bara.

Uku kulikuwa na viwanda, wafanyabiashara wakubwa, na mashamba makubwa makubwa.

Sasa nyerere akiwa kwenye harakati za kupambania uhuru alipofika huku alikuta tayari watu wana maendeleo yao kitu ambacho kilimuumiza sana.
Alisema kama watu wake wa bara wangekuwa kama wa pwani LINDi na mtwara zoezi la kudai uhuru lingekuwa rahic sana.

Mapokezi aliyoyapata huku yalimuuma, maana watu hawakumjali kila mmoja alikuwa bze na mbaga zake.

Akaahidi kuwa akipata uraisi atabadili pwani kuwe bara na bara kuwe pwani, akimaanisha atahamisha maendeleo ya pwani yawe bara na umasikin wa bara uje pwani. Na kweli alijitahidi kutimiza azma yake.

Kwahyo kudorora kiuchumi KWa watu wa mikoa ya pwani hususani LINDi na mtwara kunachangiwa KWa kiasi kikubwa na serikali.

Kuna sera kadhaa zimeathiri sana huku kuliko maeneo yoyote yale.
Sera ya KWANZA uanzishwaji wa vijiji vya kujitegemea ambayo ilifanyika sana kwa mikoa ya kusini ilikuwa ni pigo kubwa maana ni sawa na kuanza upya maisha ukiwa ugenini.

Sera ya pili ni ya ubinafsishwaji. Nayo iliathiri sana mikoa hii.maana kampuni na mashamba na vilikuwa ni vya watu binafsi hususani wahindi n.k.

Pamoja na kutopewa kipaumbele chochote na serikali lkn watu wa mikoa husika wameendelea kujipambania wenyewe mpaka hapo mnapowaona.

Kuna fursa nyingi zinazohitaji mkono wa serikali. Mfano rejea gesi. Kwann serikali iliondoa huku??

Lkn pia ww mwenyewe unafaham kuwa LINDi kuna gesi grade number moja dunian mpaka sasa serikali haitaki ichimbwe unajua kwann KWa sababu gesi ya LINDi huwez kuiamisha.

Ata hvyo nyie subirieni serikali ikitia maguu huku na kuruhusu mambo ya kimaendeleo nyie wote mtahamia huku.

Hivi unajua uwanja mkubwa wa ndege tz uko lindi unaitwa kikwetu?? Hapo ata boeng inatua.

Ngoja niache kwanza....
Haya yote unayoyasema ni ya ukweli mtupu kwani nimeishi MT mika 5 na ninajuwa historia ya hii mikoa uliyotaja hapo juu. Ukiondoa yote hayo yaliyofanywa na serikali kwa makusudi, ni nini kinawafanya wananchi wa manispaa ya Mtwara na Lindi kutopenda kwenda shule na kuelimika?
 
Kassimu Majaliwa wewe ndio ulimpeleka Shule.? Vipi Nape Nauye? Rashid Kawawa?

Hizi imani zenu ndio zimefanya sasa hivi tunatawaliwa na Zanzibar kwa dharau zenu
 
Kwani ni lazima wote wawe wakulima??
Kuna shughuli nyingi mfano uvuvi, unataka avue KILA muda??
Akienda kuvua usiku mchana lazima apumzike lkn bahari ikichafuka pia lazima apumzike punguzeni chuki
Naona nawe ni wale vilaza ninaowazungumzia, huelewi kitu gani hapa? Nimesema na nina ushuhuda huu, watu wa Manispaa ya MT / Mikindani akiamka asubuhi utakuta kavaa lishuka alilojambia kitandani jana usiku na anazurura mtaani ama misikitini na pwani siku nzima. Hana habari na nyumbani kaacha nini kwani hilo ni jukumu la mkewe, hao wanaoshinda pwani si kama wanavua, wako tu kule kupiga story huku wakinywa kahawa na kashata na akibahatika anaokota vidagaa walioachwa na wavuvi (wale dagaa wasiofaa) na kumpelekea mkewe nyumbani. Hapo toka asubuhi kashinda na shuka tu na pengine hata mswaki hajapiga.
 
Ww ndio hutaki kuelewa. Mikindani ni sehemu ndogo sana ya mtwara. Kuchukua watu wa mikindani na kuwafanya ni sampo ya malalamiko YAKO ni udwanzi. Na nimekuambia kuwa pale mikindani KAZI yao kuu ni uvuvi na biashara.
Nimekupatia pia namna uvuvi unafanyika kwahyo watu wa pale kutaka wawe kama unavyotaka ww sahau.
Karibu kwa hoja
 
Kassimu Majaliwa wewe ndio ulimpeleka Shule.? Vipi Nape Nauye? Rashid Kawawa?

Hizi imani zenu ndio zimefanya sasa hivi tunatawaliwa na Zanzibar kwa dharau zenu
Sikia kilaza mvaa shuka na kushinda misikitini na pwan kusubiri samaki wa kuokotai. Kwanza kabisa naomba nikuulize, unajuwa nini kuhusu Kawawa? Majaliwa si mtu wa Mtwara na Nape hajakulia huko, baba yake alikuwa kiongozi hapa nchini na ndiyo maana alipata fursa ya kusoma.
 
Ila hilo ghorofa limejengwa si kwa pesa iliyozalishwa hapo Kilimanjaro.

Ni Wachaga wapambanaji waliotoka nje ya mkoa wao

Wakijipata huko kama ilivyo desturi lazima ujenge nyumbani
Hao Wamatumbi na Wangindo pesa wanayopata wanajenga wapi ? Ifike mahala tukubali tu kuwa watu wa ukanda wa pwani sehemu kubwa ni wavivu, mbona maeneo hayohayo wanaoishi wimbi la wahamiaji Wasukuma wanazalisha chakula kingi jambo ambalo liliwashinda wenyeji.
 
Ww ndio hutaki kuelewa. Mikindani ni sehemu ndogo sana ya mtwara. Kuchukua watu wa mikindani na kuwafanya ni sampo ya malalamiko YAKO ni udwanzi. Na nimekuambia kuwa pale mikindani KAZI yao kuu ni uvuvi na biashara.
Nimekupatia pia namna uvuvi unafanyika kwahyo watu wa pale kutaka wawe kama unavyotaka ww sahau.
Karibu kwa hoja
Tumalize hii hoja, naona unabisha tu kwa sababu ya kutaka kubisha. Nimekuelewa sana na nimekuambia katika majibu yangu kuwa si kila aliye pale pwani ni mvuvi, Yes wavuvi wana muda wao wa kuvua ila pale pwani utakuta wavaa shuka toka asubuhi mpaka jioni wako pale tu kazi yako kuchunguza wenzao na ushirikina tu.
 
Haya yote unayoyasema ni ya ukweli mtupu kwani nimeishi MT mika 5 na ninajuwa historia ya hii mikoa uliyotaja hapo juu. Ukiondoa yote hayo yaliyofanywa na serikali kwa makusudi, ni nini kinawafanya wananchi wa manispaa ya Mtwara na Lindi kutopenda kwenda shule na kuelimika?
Apa umeuliza swali zuri. Kwanza sio kweli kuwa watu wa huku hawapendi shule. Watu wanapenda shule ila mm naweza kukuambia kuwa jamii ya huku ni jamii inayoongozwa kubezwa na watu wengi hivyo kupelekea watu kupuuzia masuala ya shule baada ya kuhitimu 4m4.

Walimu wengi ni wakuja na wamekuwa wakitoa kauli za ajabu ajabu KWa wanafunzi zinazoshusha morali ya kusoma n.k.

Hoja yangu ina nguvu sana. Changamoto yoyote inapotokea watu hubeza jamii nzima. Mfano atokee mtoto mmoja apate mimba itasemangwa jamii nzima utasema ilo jambo halitokei kwa jamii ingne.

Watu wanabeza KILA tamaduni ya watu wa huku. Mfano jando, watu wanachukia tuh janndo lkn ni moja ya tamaduni bora africa.

Changamoto zingne zote huku zipo kwa uchache sana ukilinganisha na jamii nyingi za watu wa bara.
Mfano umalaya pwan sio sana ili kuthibitisha ili angalieni takwimu za maambukiz ya ukimwi kwenu na pwani,

Bara ni MALAYA kuliko pwani.

Lkn pia watu wa kusini hawapendi dharau. Ikitokea kuna jambo lolote kwako linaweza likawa na msingi mkubwa ila likiwa na chembe chembe za dharau ndani yake au wahusika wa hilo jambo wakaleta dharau sahau kupata sapoti.
 
TUeleweshane,nimefika masasi sio kubaya ila nasikia sehemu xingine hazieleweki
Masasi sasa kumeendela shinda Manispaa yenyewe na yote hii ni kutokana dini na sababu za kijinga kama vile kuendekeza umwinyi, kukaa tu misikitini na kwenda kushinda pwani kusubiri samaki wa kuokota kwa ajili ya kitoweo nyumbani.
 
Kutojihusisha na lolote kuhusu maendeleo, wao kazi yao kukaa tu kijiweni na kuteta wanaume wenzao na kuendekeza kufuga majini na kurogana.
Kuhusu imani za kishirikina watu wa bara wanaongoza.
Aya masuala ya kufuga majini sijui uchawi ni propaganda za kidini.
Watu wa pwani wanaamin muislamu anamiliki majini hivyo kuhusisha dini na uchawi. Hakuna huo uchawi unaousema pwani.
Ila utauona kama ulikuja kuwajaribu watu wa pwani na uchawi wako TOKA bara.

Pole maana inaonekana uligonga mwamba unaamua kuanika tabia zako na ndugu zako
 
Apa umeuliza swali zuri. Kwanza sio kweli kuwa watu wa huku hawapendi shule. Watu wanapenda shule ila mm naweza kukuambia kuwa jamii ya huku ni jamii inayoongozwa kubezwa na watu wengi hivyo kupelekea watu kupuuzia masuala ya shule baada ya kuhitimu 4m4.

Walimu wengi ni wakuja na wamekuwa wakitoa kauli za ajabu ajabu KWa wanafunzi zinazoshusha morali ya kusoma n.k.

Hoja yangu ina nguvu sana. Changamoto yoyote inapotokea watu hubeza jamii nzima. Mfano atokee mtoto mmoja apate mimba itasemangwa jamii nzima utasema ilo jambo halitokei kwa jamii ingne.

Watu wanabeza KILA tamaduni ya watu wa huku. Mfano jando, watu wanachukia tuh janndo lkn ni moja ya tamaduni bora africa.

Changamoto zingne zote huku zipo kwa uchache sana ukilinganisha na jamii nyingi za watu wa bara.
Mfano umalaya pwan sio sana ili kuthibitisha ili angalieni takwimu za maambukiz ya ukimwi kwenu na pwani,

Bara ni MALAYA kuliko pwani.

Lkn pia watu wa kusini hawapendi dharau. Ikitokea kuna jambo lolote kwako linaweza likawa na msingi mkubwa ila likiwa na chembe chembe za dharau ndani yake au wahusika wa hilo jambo wakaleta dharau sahau kupata sapoti.
Haya uyasemayo ni kweli na nimeyaona mwenyewe kipindi naishi huko.
 
Back
Top Bottom