Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Halafu swala la ulevi unataka kuniambia wamakua wanawazidi wachaga wanaolewa mpaka kwenye msiba? Au wale mahanithi wa rombo?
Hata wasipo zidi ila huwezi linganisha maendeleo ya jamii ya wachaga na wamakia ni mbingu na ardhi.
 
Hata wasipo zidi ila huwezi linganisha maendeleo ya jamii ya wachaga na wamakia ni mbingu na ardhi.
Point ilikuwa ulevi wa wamakua nimekujibu kuwa wachaga ni walevi kuliko wamakua sasa umehamia kwenye maendeleo haya nijibu unayapimaje maendeleo kwasababu vijijini iwe kusini au kaskazini munafanana tu?
 
Mkoloni mjerumani aliwalimisha watu kwa viboko baada ya kuondoka nyerere akaleta mkazo kila kaya iwe na heka moja angalau ya mazao ya chakula ilikuwa lazima baada tawala zingine watu wa kusini wakarudia uvivu wao na kushinda kijiweni..unga wa sembe mahindi mpaka yatoke Kiteto.
Aisee wewe ni kiazi kweli mahindi yanayolimwa hapo mkoa wa ruvuma hata huko kiteto haifiki hata nusu yake
 
Ila mwanaume kumuoa mwenzie hilo kwako ndio ujanja? Mtu mwenye shamba la mikorosho ambaye kavuna korosho tani 4 tu kashika milion 12 hivi nitajie huko kwenu ni zao lipi lenye pesa kiasi hiki? Mtu anayelima mbaazi heka moja hupata kuanzia kilo 400 akiuza kwa 2000 ana laki 8.... haya nitajie huko kwenu munalima mazao yapi kupata pesa? Huko manyara nishafika maeneo yote zaidi ya wairaq kuwa na gono lisilopona hakuna wanachotuzidi sisi
Hela ya korosho inapatikana bila shaka,shida ni kwamba jamii za watu wa kusini wanaamini mkorosho upo kila siku na utazaa hivyo hata matumizi ya pesa inayopatikana niyahovyo na pesa hupotea kwenye masuala ya hovyo ndio mana umasikini unaendelea kutamalaki.


Ukienda kama masasi ni mji wa kibiashara kwa sababu ya uwepo wa wakinga na wamakonde kidogo ambao sio muda mrefu nao wataondolewa kwenye game.
 
Unauliza shughuli za kiuchumi? Korosho, mbaazi na ufuta yataendelea kuwa mazao ya wavivu na siyo yenye kumuinua mtu kiuchumi. Ni sawa na mkonge Tanga na Morogoro
Unapanda miti ya mikorosho, unavuna km maembe halafu unasema unajishugulisha na kilimo?
Niwe na chuki na wavaa kobazi ambao kwa ulimwengu huu hawana cha maana zaidi ya kanzu, maji ya zamzam, tende, mkojo wa ngamia, kisima cha kujitawazia na msikiti😀😀😀😀
HAPA MKUU UNAONYESHA TABIA YA KIJINGA SANA.
 
Likija suala la ngono kusini hakunaga aibu wala simile,90% ya watoto wahalelewi na wazazi wote wawili,kuachana kusini ni suala dogo sana,kimsingi misingi ya kifamilia kwa jamii za watu wa kusini haipo.
Misingi ya kifamilia ipo kwasababu huku wengi ni waislamu....mtoto wa nje ya ndoa ni haramu na hata kuzaa bila ndoa ni aibu sana huku hii hali ipo tofauti na wachaga na kabila lako ambalo munazaa watoto halafu ndio munakuja kufunga ndoa
 
Point ilikuwa ulevi wa wamakua nimekujibu kuwa wachaga ni walevi kuliko wamakua sasa umehamia kwenye maendeleo haya nijibu unayapimaje maendeleo kwasababu vijijini iwe kusini au kaskazini munafanana tu?
Mkuu tembea uone unayaongea haya kwa sababu hujawahi ziidi mbagala ukitoka kusini unaishia mbagala kuuza korosho.
 
Misingi ya kifamilia ipo kwasababu huku wengi ni waislamu....mtoto wa nje ya ndoa ni haramu na hata kuzaa bila ndoa ni aibu sana huku hii hali ipo tofauti na wachaga na kabila lako ambalo munazaa watoto halafu ndio munakuja kufunga ndoa
Nimeisho masasi naijua vzr sana,leo mtoto wa nje ya ndoa ni haramu 😅😅,huko wengi waislamu jina kuzaa hovyo na kura nguruwe kama kawaida.

Kimsingi hakuna jamii inayoongoza kwa single maza kama jamii za watu wa kusinj,si wanaume si wanawake waliokaa kutunza famili,ni mwendo wa kulombana kuzaana na kuachana
 
Usichojua ni kuwa mkoloni hakupotezea mikoa ya kusini. Alijenga hadi reli na alianzisha shule nyingi tu za maana. Aliyepotezea kusini ni Nyerere na ccm yake
Wapumbavu ni wengi mno JF ya siku hizi

Hadi unashangaa mtu anachukia hadi mikoa ambayo hajawahi kufika
 
Back
Top Bottom