Yoso
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 954
- 1,417
Me mwenyeji wa kanda ya ziwa.. lkn Kilimanjaro ni duniani nyingine ghorofa mpaka vijijini.Hujafika vijiji vya Moshi,fika huko kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me mwenyeji wa kanda ya ziwa.. lkn Kilimanjaro ni duniani nyingine ghorofa mpaka vijijini.Hujafika vijiji vya Moshi,fika huko kwanza.
Kuanzisha University au hospital, hizo ni kazi za watu wengine, wao kazi yao ni kilimo! (profeshinolisim)Wapi Tanzania kuna wakulima wameanzisha Hospitali za maana au University?
😂😂😂😂Tatizo la kule ni dini isiyokuwa na tija kwa wananchi, ni kama Tanga au Bagamoyo tu. Mtu anaamka asubuhi kavaa shuka aliyolalia jana na kwenda kushinda msikitini hata mswaki hajapiga. Hana wazo la kwenda shambani kufanya kazi wala nini, anataka kukaa tu na wenzake wakisengenya waendao makazini kuwa wanaringa na kutishia maisha yao.
Kwahyo wewe una wivu?, ndio nyie mnataka muwe wanawake, mwenye Mtoto hakulala mika, zaidi ya kushukuru, na huyo muolewaji hakuwahi kulalamika, kusema kuwa alionewa, sasa wewe Kaffir mmoja ina kukeleketa kana kwamba kaolewa mzazi wako au mwanao , wewe ni human rights watch, Mtu akioa mke zaidi ya mmoja ni kinyume na haki za binaadamu lakini aki bokolewa mnasema haki yake??,Naona wavaa kobazi mnafarijiana. Kwa vile mudi alioa binti wa miaka 9 basi watu wote mnawachukulia mabinti😀😀😀
Kwenye dunia hii, nyie ni wavivu 100%.. Hapo ulipo unatumia bidhaa au vitu vya siyo wavaa kobazi kwa 99%. Bishaa
Wewe hujatembea mtwaraSasa hela mnapekeka wapi mbona kumepoaa,hakuna hata uwekezaji wa maana mnaowekeza huko iwe vyuo vikuu au hosoitali za maana
GeographIa ndiyo inaamua zao fulani lilimwe sehemu fulani. Hujiulizi kwanini hao Wambulu hawalimi korosho na mbaazi?.😁😁😁😁
Umependa miti ya mikorosho kama miti ya maembe. Hiyo trekta utatumia kupalilia miti ya mikorosho?
Nenda Mang'ola uone mashamba ya vitunguu km uwanja wa Mkapa tena unamilikiwa na mtu mmoja tena unaweza kuunganisha viwanja 2 au 3 vya mkapa ndiyo unapata shamba la mtu mmoja
Kipumbavu kivipi, nimeishi kule miaka 5 unanibishia? Wanaume wa Rombo is another case, they are a lost bunch na ndiyo maana unaona wanawake zao wamezaa watoto na mababa tofauti huku mwanamme akiwa maporini anajipigia punyeto na kulewa hovyo bila kuwa na habari na mkewe.Mtizamo wa Kipumbavu! Usiamini Kila unayosikia!
Vipi kuhusu Rombo ambao wao ni kupiga ulabu tu mpaka wanshindwa kutembea!
Umefika Mtwara kweli au unaongea tu? Haya yote unayoropoka si ukweli hakuna lolote la ukweli uliloongea, Mtwara wana vitabia zao ila haya uliyoyasema si ya ukweli.Sasa hela mnapekeka wapi mbona kumepoaa,hakuna hata uwekezaji wa maana mnaowekeza huko iwe vyuo vikuu au hosoitali za maana
Ufuta unaletwa Dar es salaam na kupakiwa kwenye makontena kwenda nje ya nchiHaswaa...Hivi ufuta nao unasafirishwa kupitia bandari ya mtwara?
Mtwara vijijini wanakolima korosho kidogo wana afadhali kwani wananchi wa huko wanajitambua lakini si manispaa yenyewe, yaani pale manispaa ni sawa na Tanga, Tabora, Bagamoyo, Mafia, Kilwa, Ujiji (Kigoma), wananchi wapuuzi sana, wao wanajali kuswali tu na kukaa vijiweni ufukweni kuomba wavuvi samaki huku wakiteta wanaume wenzao. Haya yote ni madhara ya kuendekeza dini.Kwhy hizo korosho zilizojaa hapo bandarin mpaka magunia hayatoshi kalima shemeji Yako huyo unaekaa kwake?
Huo muda wa kutongoza wanapata wapi, wao wako pwani kuokota samaki walioachwa na wavuvi kupelekea wazazi wao na wazazi wanashindwa kabisa kuhimiza watoto wao kwenda shule.pia Vijana wa huko ni wavivu balaaaa,kutwakucha wanawaza kutongoza😂.
Usiwe mjinga na kunifananisha mimi na wewe, nimeishi kule miaka 5, nawajuwa wakazi wa kule walivyo. Huko vijijini wanakolima hawana tatizo hapa nazungumzia manispaa ya Mtwara yenyewe, kule hawana tofauti na mikoa ya Dar (Pwani za Dar), Bagamoyo, Zanzibar, Pemba, Kigoma, Tanga, Tabora. Nahisi kutawaliwa na Waarab na kuishi karibu na bahari na maziwa kumewaathiri akili wananchi wa hizi sehemu. Kwa kweli bila serikali kuwakamata na kuwachapa fimbo hawatakuja kuelimika kamwe.Hizi korosho na mbaazi unawalimia wewe? Usipende kuongea stori za vijiweni Kaka.
Nishajibu hili hapo juu👆Hayo maghala yangejaaje mizigo au mazao, kwa hayo yaliyosemwa?, unamaana mazao yanajilima yenyewe?
Hivi ushawahi ishi mikoa inayoendekeza dini ya Kiislam na kuona wananchi wake wakoje huko? Basi fanya tafiti zako kisha rudi hapa kabla hujajiua kwa haibu.....fika Zanzibar au Tanga uone mifano yake.Sasa hayo
Unayoyasema na uislamu wapi na wapi? Hii nchi ina vijana Wana umasikini wa fikra sijawahi kuona aisee
Wewe unaelewa ila kuna wengine humu ndani kusema ukweli kama huu anaona unakejeli watu.Hilo tatizo lipo ukanda wote wa pwani kuanzia Mtwara hadi Lamu lifestyle yao ni ya aina moja uzembe ,umwinyi na kuendekeza uchawi.. heri kwa sasa kuna mwingiliano wa wafugaji (wasukuma) kumeanza kuchangamka hasa mikoa ya Lindi na Mtwara.
Umeishi Mtwara ama pwani za Tanzania na kuona jinsi watu wanavyoishi huko? usiwe mbishi kwa kitu usichokijuwa, utaonekana mjinga tu. Sasa hapa unabisha nini?Uongo huu
Me mwenyeji wa kanda ya ziwa.. lkn Kilimanjaro ni duniani nyingine ghorofa mpaka vijijini.