Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Sikutegemea kama Mtwara ina fursa kiasi hiki

Naijua sana masasi na wenyejj wake,ila kimsingi ni moja ya watu wavivu na wapenda ngono,wakivuna na kuuza korosho nikanchofuata ni mpeni raha,manyago na kulombana na kulewa.
Halafu swala la ulevi unataka kuniambia wamakua wanawazidi wachaga wanaolewa mpaka kwenye msiba? Au wale mahanithi wa rombo?
 
Tatizo la kule ni dini isiyokuwa na tija kwa wananchi, ni kama Tanga au Bagamoyo tu. Mtu anaamka asubuhi kavaa shuka aliyolalia jana na kwenda kushinda msikitini hata mswaki hajapiga. Hana wazo la kwenda shambani kufanya kazi wala nini, anataka kukaa tu na wenzake wakisengenya waendao makazini kuwa wanaringa na kutishia maisha yao.
Sasa kama wako hivyo hayo mazao yanayotajwa kujaa magalani yanatoka mkoa gani.
Na kama yanalimwa mtwara, yanalimwa na wenyeji wa mkoa gani, ama umechanganya mada?
 
Nimepata fursa ya kufika eneo la MAGHALANI -MTWARA. Eh bwana eeh nilichokishuhudia imenifanya nijiulize mara mara mbili mbili kwa nini MTWARA mpaka sasa ipo nyuma kimaendeleo namna hii.

Yani maghala yamejaa magunia ya korosho na bandari ipo bize usiku na mchana. Order za watu zinasubiri meli zisepe, sawa tufanye hilo sio suala vipi kuhusu magari ya makaa ya mawe na Saruji yanayoingia na kutoka maghalani 24/7 mwaka mzima?.

Nadhani Serikali inapaswa kuongeza nguvu MTWARA ili kuharakisha maendeleo ukizingatia mikoa ya kusini ipo nyuma kimaendeleo.

MAPENDEKEZO.


Kuna maeneo yametengwa mtwara kwa ajiri ya Viwanda, hivyo basi kama Sekta binafsi zimeshindwa kufanya uwekezaji Serikali ijikakamue ijenge hata kiwanda kikubwa kimoja cha magunia (hasahasa ya katani) kwa sababu pesa nyingi tunapoteza kuagiza magunia ULAYA na ASIA.

Serikali itaweza hata kufanya ubinafsishaji mbele kwa mbele wakati huo uzalishaji ushaanza kama kuna muwekezaji atatokea. Na uzuri wake eneo la uzalishaji halitokuwa mbali na itakapotumika hiyo bidhaa ya magunia.


Kwa kujenga kiwanda cha magunia tutapiga ndege wawili kwa jiwe moja, tutaongeza zao lingine la biashara tofauti na Korosho ambalo ni Mkonge na ndo litakalolisha kiwanda cha magunia.
Yaani hawahawa wa serikali za mitaa au wepi hai
 
*Kijiji kinaitwa Namatunu siyo kinamatunu, na kuhusu wairaq kumiliki hizo Land cruiser ni Geographia ya huko milima mingi Sana, kwahiyo unataka watu wapakiwe kwenye Land Cruse wakati hamna milima kama Arusha-Mbulu, hakili ndogo za matope kama ndugu zako wa Gallapo
Geographia ya huko? Haujawahi kufika mbulu wala Mang'ola. Milima ipo mbali sana na makazi ya watu na barabara na watu wamejenga sehemu ya isiyo na milima😀😀😀 Wala siyo barabara za milima kama unavyofikiri. Unaweza kutumia hata Noah kutoka hapo ulipo mpk Mang'ola hadi mbulu. Ni pesa, wanalima vitunguu, umeme na maji mpk mashambani huko.
Tatizo la wavaa kobazi, wavivu. Asusubuhi na jion wakanywe kahawa na kucheza bao.
Mfano hai, angalia Zanzibar. Kipindi cha Ramadhani, wanasimamisha ligi ya mpira ili wakale daku na kuchapa watu mtaani😀😀😀
 
mwisho utakuja sema kununua trekta ni uvivu pia
😁😁😁😁
Umependa miti ya mikorosho kama miti ya maembe. Hiyo trekta utatumia kupalilia miti ya mikorosho?
Nenda Mang'ola uone mashamba ya vitunguu km uwanja wa Mkapa tena unamilikiwa na mtu mmoja tena unaweza kuunganisha viwanja 2 au 3 vya mkapa ndiyo unapata shamba la mtu mmoja
 
Kwa taarifa yako hicho kijiji kinaitwa namatunu na hao ni wamakua ambao 70% ni wakristo wenzio....mbona unaitaja karatu kwanini hautaji na rombo? Na bahati mzuri kuanzia wilaya ya newala mpaka tandahimba na huko masasi sidhani kama kuna kijiji hakina umeme...Haya nikuulize kitu hao wairaq wanaoendesha hizo land cruiser shughuli zao za kiuchumi ni zipi zinazowaingizia hizo pesa za kununua hayo magari? NB Inaonekana wavaa kobazi wanakukuumiza kichwa sana😆😆😆nakuomba uwavumilie washatupita tayari hao ndio walioshika uchumi wa nchi
Unauliza shughuli za kiuchumi? Korosho, mbaazi na ufuta yataendelea kuwa mazao ya wavivu na siyo yenye kumuinua mtu kiuchumi. Ni sawa na mkonge Tanga na Morogoro
Unapanda miti ya mikorosho, unavuna km maembe halafu unasema unajishugulisha na kilimo?
Niwe na chuki na wavaa kobazi ambao kwa ulimwengu huu hawana cha maana zaidi ya kanzu, maji ya zamzam, tende, mkojo wa ngamia, kisima cha kujitawazia na msikiti😀😀😀😀
 
😆😆😆huyo binti anaoñgozwa na jazba sana
Naona wavaa kobazi mnafarijiana. Kwa vile mudi alioa binti wa miaka 9 basi watu wote mnawachukulia mabinti😀😀😀
Kwenye dunia hii, nyie ni wavivu 100%.. Hapo ulipo unatumia bidhaa au vitu vya siyo wavaa kobazi kwa 99%. Bishaa
 
Hivi kati ya mikoa ya pwani na kanda ya ziwa wapi kunaongoza uchawi?
Kotekote... Kanda ya ziwa wanaendekeza uchawi kwa sababu asilimia kubwa hawaamini dini za kigeni hususani Wasukuma kwa Pwani ushirikina unapewa kipaumbele na hao wanaoshinda misikitini, majina makubwa ya maeneo ya kichawi km Ngende, Kwa msisi , Mlingotini yanaheshimiwa sn ukanda wa pwani.
 
Ni maendeleo yapi wanayo watu wa bara?
Hivi unaweza kufananisha umasikini wa Lindi na mikoa ya bara ? kidogo wimbi la wahamiaji wafugaji wameanza kuchangamsha mikoa ya kusini km ujio wa Wasukuma.
 
Mtwara ilipotezwa na viongozi wa kutoka maeneo ya kusini waliojazana Serikalini kipindi hicho hawakujali nyumbani ndio madhara yake yanaonekana sasa hivi ila kazi na mazao wanalima kama mikoa mingine tu na wao wapo busy na mazao ya biashara.
 
Nimesoma history ni kweli alijenga reli kwenda nachingwea kwenye mradi wa karanga ila aliing'oa kwa nini
Mkoloni mjerumani aliwalimisha watu kwa viboko baada ya kuondoka nyerere akaleta mkazo kila kaya iwe na heka moja angalau ya mazao ya chakula ilikuwa lazima baada tawala zingine watu wa kusini wakarudia uvivu wao na kushinda kijiweni..unga wa sembe mahindi mpaka yatoke Kiteto.
 
Unauliza shughuli za kiuchumi? Korosho, mbaazi na ufuta yataendelea kuwa mazao ya wavivu na siyo yenye kumuinua mtu kiuchumi. Ni sawa na mkonge Tanga na Morogoro
Unapanda miti ya mikorosho, unavuna km maembe halafu unasema unajishugulisha na kilimo?
Niwe na chuki na wavaa kobazi ambao kwa ulimwengu huu hawana cha maana zaidi ya kanzu, maji ya zamzam, tende, mkojo wa ngamia, kisima cha kujitawazia na msikiti😀😀😀😀
Ila mwanaume kumuoa mwenzie hilo kwako ndio ujanja? Mtu mwenye shamba la mikorosho ambaye kavuna korosho tani 4 tu kashika milion 12 hivi nitajie huko kwenu ni zao lipi lenye pesa kiasi hiki? Mtu anayelima mbaazi heka moja hupata kuanzia kilo 400 akiuza kwa 2000 ana laki 8.... haya nitajie huko kwenu munalima mazao yapi kupata pesa? Huko manyara nishafika maeneo yote zaidi ya wairaq kuwa na gono lisilopona hakuna wanachotuzidi sisi
 
Naona wavaa kobazi mnafarijiana. Kwa vile mudi alioa binti wa miaka 9 basi watu wote mnawachukulia mabinti😀😀😀
Kwenye dunia hii, nyie ni wavivu 100%.. Hapo ulipo unatumia bidhaa au vitu vya siyo wavaa kobazi kwa 99%. Bishaa
Kumbe upo kwenye malumbano ya kidini na mimi mkristo mwenzio? Punguza chuki usije kufa mapema
 
Hivi unaweza kufananisha umasikini wa Lindi na mikoa ya bara ? kidogo wimbi la wahamiaji wafugaji wameanza kuchangamsha mikoa ya kusini km ujio wa Wasukuma.
Hivi huwa unaupimaje umaskini? Huwa unatumia kipimo gani?
 
Kotekote... Kanda ya ziwa wanaendekeza uchawi kwa sababu asilimia kubwa hawaamini dini za kigeni hususani Wasukuma kwa Pwani ushirikina unapewa kipaumbele na hao wanaoshinda misikitini, majina makubwa ya maeneo ya kichawi km Ngende, Kwa msisi , Mlingotini yanaheshimiwa sn ukanda wa pwani.
Nakuonea huruma mno ndugu yangu usikute wewe ni wale munaojiita wasomi na hapo ulipo unavizia ugombee nafasi ya uongozi mwakani ....hivi je kwa akili kama hii uliyonayo nchi inaweza kusonga mbele?
 
Back
Top Bottom