Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Hayo maghala yangejaaje mizigo au mazao, kwa hayo yaliyosemwa?, unamaana mazao yanajilima yenyewe?Tatizo la kule ni dini isiyokuwa na tija kwa wananchi, ni kama Tanga au Bagamoyo tu. Mtu anaamka asubuhi kavaa shuka aliyolalia jana na kwenda kushinda msikitini hata mswaki hajapiga. Hana wazo la kwenda shambani kufanya kazi wala nini, anataka kukaa tu na wenzake wakisengenya waendao makazini kuwa wanaringa na kutishia maisha yao.