Usiwe mjinga na kunifananisha mimi na wewe, nimeishi kule miaka 5, nawajuwa wakazi wa kule walivyo. Huko vijijini wanakolima hawana tatizo hapa nazungumzia manispaa ya Mtwara yenyewe, kule hawana tofauti na mikoa ya Dar (Pwani za Dar), Bagamoyo, Zanzibar, Pemba, Kigoma, Tanga, Tabora. Nahisi kutawaliwa na Waarab na kuishi karibu na bahari na maziwa kumewaathiri akili wananchi wa hizi sehemu. Kwa kweli bila serikali kuwakamata na kuwachapa fimbo hawatakuja kuelimika kamwe.
Nazan wengi mnaongolea ushabiki wa ukanda.
Ila tambua kitu kimoja LINDi na mtwara ilistaarabika kabla ya sehemu nyingi apa tz.
Angalia mkoa wako mlianza kupata majengo ya kistaarabu kuanzia lini??
LINDi na mtwara wameanza kujenga majengo ya kudumu kabla ata nchi haijapata uhuru. Watu wa maeneo ya pwani walielimika kabla yenu bara.
Uku kulikuwa na viwanda, wafanyabiashara wakubwa, na mashamba makubwa makubwa.
Sasa nyerere akiwa kwenye harakati za kupambania uhuru alipofika huku alikuta tayari watu wana maendeleo yao kitu ambacho kilimuumiza sana.
Alisema kama watu wake wa bara wangekuwa kama wa pwani LINDi na mtwara zoezi la kudai uhuru lingekuwa rahic sana.
Mapokezi aliyoyapata huku yalimuuma, maana watu hawakumjali kila mmoja alikuwa bze na mbaga zake.
Akaahidi kuwa akipata uraisi atabadili pwani kuwe bara na bara kuwe pwani, akimaanisha atahamisha maendeleo ya pwani yawe bara na umasikin wa bara uje pwani. Na kweli alijitahidi kutimiza azma yake.
Kwahyo kudorora kiuchumi KWa watu wa mikoa ya pwani hususani LINDi na mtwara kunachangiwa KWa kiasi kikubwa na serikali.
Kuna sera kadhaa zimeathiri sana huku kuliko maeneo yoyote yale.
Sera ya KWANZA uanzishwaji wa vijiji vya kujitegemea ambayo ilifanyika sana kwa mikoa ya kusini ilikuwa ni pigo kubwa maana ni sawa na kuanza upya maisha ukiwa ugenini.
Sera ya pili ni ya ubinafsishwaji. Nayo iliathiri sana mikoa hii.maana kampuni na mashamba na vilikuwa ni vya watu binafsi hususani wahindi n.k.
Pamoja na kutopewa kipaumbele chochote na serikali lkn watu wa mikoa husika wameendelea kujipambania wenyewe mpaka hapo mnapowaona.
Kuna fursa nyingi zinazohitaji mkono wa serikali. Mfano rejea gesi. Kwann serikali iliondoa huku??
Lkn pia ww mwenyewe unafaham kuwa LINDi kuna gesi grade number moja dunian mpaka sasa serikali haitaki ichimbwe unajua kwann KWa sababu gesi ya LINDi huwez kuiamisha.
Ata hvyo nyie subirieni serikali ikitia maguu huku na kuruhusu mambo ya kimaendeleo nyie wote mtahamia huku.
Hivi unajua uwanja mkubwa wa ndege tz uko lindi unaitwa kikwetu?? Hapo ata boeng inatua.
Ngoja niache kwanza....