GE2025 Sikutegemea Katoliki wamuombee Dua Samia kwenye kuapishwa kwake

GE2025 Sikutegemea Katoliki wamuombee Dua Samia kwenye kuapishwa kwake

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Imekuaje Katoliki wamekubali mwaliko wa kwenda kwenye Sherehe za kuapishwa kwa Samia Suluhu Hassan?

Halafu wanamuombea Dua yenye nguvu kabisa. Imekuaje?

Nnimefarijika Mumetaja mauaji yaliyotikea wakati wa Uchaguzi na mumewaombea Dua..

Yule wa Ummoja wa Wakirisyo hajui hata kama kuna watu wamekufa


View: https://www.youtube.com/live/4DLnAN3ITyQ?si=BunxOe3zTiMQOaT3
 
lawama nyingine bhana, hivi ulitegemea serikali na mashineri yao yoote ya kurubuni watu halafu wakose ''padri'' wa kusoma dua kweli? ...
 
NAONA SASA UDİNİ UNATAKA KUSHIKA KASIII,
JAMANI HEBU TUJITAFAKARINI
 
Kuna watu wajinga sana, mkapa Kaua waislam kisingizio hiki hiki uchaguzi lakini alkuwa akiapishwa mashehe wanakuwepo, hawa jamaa wana nongwa sana
Dini zenu zote ni Takataka si uislam Wala ukriso..Dini ni umbumbumbu na ujinga
 
Back
Top Bottom