figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 28,132
- 64,416
Kumbe sio katoriki. Nimeambiwa ni Kiongozi Askofu ya Makanisa ya Kikristo. Kamfananisha Samia Suluhu na Deborahuyo mtu sio wakatoliki 😀 😀 😀
kwani Katoliki ndio walileta fujo?Imekuaje Katoliki wamekubali mwaliko wa kwenda kwenye Sherehe za kuapishwa kwa Samia Suluhu Hassan?
Halafu wanamuombea Dua yenye nguvu kabisa. Imekuaje?
Nnimefarijika Mumetaja mauaji yaliyotikea wakati wa Uchaguzi na mumewaombea Dua..
Yule wa Ummoja wa Wakirisyo hajui hata kama kuna watu wamekufa
View: https://www.youtube.com/live/4DLnAN3ITyQ?si=BunxOe3zTiMQOaT3
Tutajie walioleta fujokwani Katoliki ndio walileta fujo?
ChademaTutajie walioleta fujo
Hahahaaa🤣🤣🤣Chadema
Kuna watu wajinga sana, mkapa Kaua waislam kisingizio hiki hiki uchaguzi lakini alkuwa akiapishwa mashehe wanakuwepo, hawa jamaa wana nongwa sanaNAONA SASA UDİNİ UNATAKA KUSHIKA KASIII,
JAMANI HEBU TUJITAFAKARINI
Dini zenu zote ni Takataka si uislam Wala ukriso..Dini ni umbumbumbu na ujingaKuna watu wajinga sana, mkapa Kaua waislam kisingizio hiki hiki uchaguzi lakini alkuwa akiapishwa mashehe wanakuwepo, hawa jamaa wana nongwa sana
Sasa si utuachie kwani umelazimishwa wewe mwenye akili nyingi?Dini zenu zote ni Takataka si uislam Wala ukriso..Dini ni umbumbumbu na ujinga
Ulifanya vizuri sana kujiita MwehuDini zenu zote ni Takataka si uislam Wala ukriso..Dini ni umbumbumbu na ujinga
Nimewashika wapi ili niwaachie?Sasa si utuachie kwani umelazimishwa wewe mwenye akili nyingi?
Asante mkuu, niliona mbaliUlifanya vizuri sana kujiita Mwehu
Suratul munaafiquunKuna watu wajinga sana, mkapa Kaua waislam kisingizio hiki hiki uchaguzi lakini alkuwa akiapishwa mashehe wanakuwepo, hawa jamaa wana nongwa sana