Sikutegemea kutukanwa na mmu wenzangu

Sikutegemea kutukanwa na mmu wenzangu

'yoyoyooooo babie, yoyoyoooo! Tulia eee bebie, tulia mpenzi wangu'*6
Najua umeshapoa sweetie, sasa hebu niambie, nani amekuchokoza? Kalete fimbo tumchape!
Unaona analia? ... Usirudie tena kumchokoza mwenzako!
 
Sijui lkn kwangu kila nikiingia JF napata faraja, nacheka nafurahi maana najua makwazo lazima yaje lakini kuyashinda ndiyo muhimu; kila nikipata kusoma ya kina Mwita 25 na wengineo napata mshawasha wa kuona haa kumbe dunia ikoje wangu.. JF ni bora zaidi kuliko mitandao mingi sana huku watu wana funguka naa kujiachia kinomi ila kila kamba ina marefu yake na mapana pia.................... jamani usiiondoke bana we wa teme tu.
 
Usiondoke banaaa Bebii! Ingekuwa kila anayetukanwa hapa anaamua kuondoka basi wengi wetu tungeamua kufanya hivyo siku nyingi sana. Inauma kutukanwa hasa kama mtu hujamkosea lakini umeshatoa taarifa kwa uongozi wa JF ambao umeamua kuyafuta matusi hayo na labda pia "kumshughulikia" mhusika ili asirudie tena kosa lake.
 
Bebii naona wengi wanakupa tu pole. But mimi nakwambia huwezi kukaa hapa bila kutukanwa nikwambie niliwahi kutukanwa (Husninyo) shahidi maana naye yalimkuta lkn haondoki mtu hapa so kuwa ngangari bana kwanza ndo unampa kichwa anaona kakukomesha we dunda bana
 
Ondoka maana mimi sikupendi sana, unaanzisha thread eti nimetukanwa sijui mijitu mingine ikoje, si usepe tu kama kuna mashoga zako unataka kuwaaga si uwaandikie PM tu. Hongera aliyekutukana maana imenisaidia sana kukufuta kwenye uso wa JF na ukionekana hapa tu utachezea mijitusi ya kufa mtu.
 
Ondoka maana mimi sikupendi sana, unaanzisha thread eti nimetukanwa sijui mijitu mingine ikoje, si usepe tu kama kuna mashoga zako unataka kuwaaga si uwaandikie PM tu. Hongera aliyekutukana maana imenisaidia sana kukufuta kwenye uso wa JF na ukionekana hapa tu utachezea mijitusi ya kufa mtu.
<br />
<br />
Mmmmhhh........napita tu
 
Bebii, iwapo watu wanaokujua wanaweza kukutukana na kukuvunjia heshima sembuse hawa wasiokujua?? Wasamehe bure mpendwa wangu na urudi tulisongeshe gurudumu pamoja wala haina haja ya kukaa na hasira! Waache kama walivyo na haitokugharimu chochote!
 
Sasa bebii,hayo matusi ulo2kanwa ni mageni maskion mwako hadi uamue kudhira?
 
Du hapo me nimeshindwa kuelewa kabisa,ina maana tangu uzaliwe ndio umekuja kutukanwa leo hapa JF?
 
mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda

pole ndugu ila jua kuwa hakuna anayekujua hata kama wamekutukana usichanganyikiwa na kuumia moyo
 
Nani huyo kakutukana First lady wangu? Usijali..hayo ni mambo ya kawaida JF..mimi nimeshazoea sana kutukanwa kule kwenye jukwaa la siasa! Lakin napambana nao!
 
<b>mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda</b>
<br />
<br />
Haya bebii, sasa tema mate tumchape!! Haya kalale sasa mtoto mzuri!
 
Back
Top Bottom