Bishanga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2008
- 15,321
- 10,075
baby ndo mtoto..
bebii ni jina tu..
hapana AD,soma post zake nyingi,utaelewa kweli ni kabebii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
baby ndo mtoto..
bebii ni jina tu..
Acha kudeka..
AD bana,kwani wewe kudekeza hujui?
hapana AD,soma post zake nyingi,utaelewa kweli ni kabebii
Kha?! Kumbe huwa unakuwa na roho mbaya saa nyingine?
dahhhh kwani nimefanya nini (kosa gani)??
Humuonei huruma Bebii wamwambia aache kudeka?
haya basi ngoja ni badilishe
"acha kulalamika"
nadhani bebii kachoka multi-id...ila huwezi kukimbia maandishi ya kiibodi.
Acha kudeka..
Siongezi neno tena hapa. Bebii acha kudeka aka kulalamika si maneno yangu soma mwenyewe hapoo AD na Kaizer walivosemahaya basi ngoja ni badilishe
"acha kulalamika"
AD,,,sijui kwa nini but I think you are right.....
rest in peace Bebii,, daima tutakukumbuka pale itakapotulazimu...
attention seaker eee, kawaida lakini, hata mie napenda sanaAcha kudeka..