Sikutegemea kutukanwa na mmu wenzangu

Sikutegemea kutukanwa na mmu wenzangu

Mi naamini yanayoitwa matusi, yanakuwa matusi pale tu unapoamin kwamba ni matusi.
 
Kipindi kile tulipanga wana Jf tukutane ili tufahamiane kwa sura na kwa majina ya humu Jf, watu wakakataa. Leo hii Bebii acngetukanwa. Lakini ona sasa bebii anaondoka. Jamani bebii usiöndoke utatuachia majonzi.
 
<b>mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda</b>
Niuzie kesi.
 
unapokuwa jf, ni kama vile upo on da way una-drive. Kuna wehu, wavuta naniliu na vitu kama hivyo. Hivyo unatakiwa ufahamu wengi tuliyomo humu hatufanani kifikra pole sana bebii we wil miss u.
 
Umepigwa cha mbavu live ukaona bora uage wana jukwaa ehe.ugua pole but ndo unagain experience bebii.nawewe mtafute mnyonge wako umlipizie.
 
Pole Safari Njema kama umepachoka jamvini! ungelichukulia hivi " KELELE ZA CHURA HAZIMZUII TEMBOKUNYWA MAJI" wala hata usinge report abuse, kama huwezi kuwa mvumilivu kwa watu usiowajua wala wasiokujua vipi wale unaoishi nao! mh si wana tabu jamani..ngoja niishie hapa usijeona haya nayo matusi ukaandika thread nyingine ya kutoweka Tanzania....anyway u have made a decision GoodBye!
 
rest in peace Bebii,, daima tutakukumbuka pale itakapotulazimu...
 
Bebii naona wengi wanakupa tu pole. But mimi nakwambia huwezi kukaa hapa bila kutukanwa nikwambie niliwahi kutukanwa (Husninyo) shahidi maana naye yalimkuta lkn haondoki mtu hapa so kuwa ngangari bana kwanza ndo unampa kichwa anaona kakukomesha we dunda bana
<br />
<br />
shahidi nimekuja. Lol.
Halafu yule aliyenipa mitusi siku hizi tunapatana, haipiti wiki hatujaongea. Jf ni kuvumiliana tu.
 
Pole jifunze kukabili hasira zako, maana unakuwa kama hujui humu mambo yanavokuwa, siku vikichacha watu wanakumwagia tu upupu
ni kawaida, jipe moyo halafu jisemee kimoyomoyo "watu wenyewe wala siwajui na hawanijui" baaasi itakupa faraja
 
Mie ningekuona shujaa kama ungehama tz maana Nchi yenyewe ni matusi tu,Meremeta,Kagoda,Richmond,EPA,Radar nk,we kuambiwa tu pua yako imekaa upande unataka kuikimbia JF! Plz bado JF Marathon haijatangazwa.
 
Pole mpendwa, yaani humu kuna watu wana akili. Bora wewe umetukanwa. Kuna wengine washatendwa. Jipe likizo siku mbili tatu hasira ziishe urudi.

heee husinyo, mpaka kutendwa, mh hao nao pole, Jf hii hii.
 
Back
Top Bottom