Sikutegemea kutukanwa na mmu wenzangu

Sikutegemea kutukanwa na mmu wenzangu

kama imeshashughulikiwa na mods shida yako nini?? malizaneni hukohuko mlipoanziana au endelea na issues zako,

mtu unatafuta attention sana
 
Bebii, tema mate nimchape huyo aliyekutukana.
 
mtu unatafuta attention sana

Nilikuwa natafuta hili neno tokea jana, kingereza kikawa not recheable, huo ndio ukweli attention seeker mother father
 
Bebii vumilia hata mimi kuna mtu aliniandikia maneno ambayo co fresh sana nikayapotezea lakini mpaka leo nipo jf.
 
Plz bebii don't leave us, we need more than u can imagine!!!
 
Pole mpendwa, yaani humu kuna watu wana akili. Bora wewe umetukanwa. Kuna wengine washatendwa. Jipe likizo siku mbili tatu hasira ziishe urudi.

Inaelekea aliyekutenda hakufanya maskhara! It was a kind of KINKY!
 
Sasa huyu bebii nae ana2kanwa na j2 ambalo hajua kama lnaexist ktk hu ulimwengu au linatokea sayari nyingne ndo ananuna kiasi hcho..Btw RIP bebiíito..
 
ur a woman love n as women we are made for tough stuffs, be strong n keep going we still need u here plz dont go bebiii.
umechelewa nailyne!!! i wish ungemwambia hivo tangu jumapili. Very nice encouragement. i ilove this
 
komaa mtoto wa kike, ulimwengu bila maudhi utaiona chungu. maudhi ni challenge ya maisha, mtihani unaokufanya kuwa strong day by day. kama unataka kila kitu kwenda soft soft utakuwa legelege na utashindwa kustahimili maisha.
anyway pole sana. hebu tueleze alikutukana vipi isije ikawa ni msamiati alitumia ukashindwa kutafsiri.
 
Msiwe na wasiwasi bebii yuko ok kabisa, hizi ni updates kutoka huku tulipo ...........kifupi tunakula ze bataaaaaaaaz kwa sana
 
hii ni mara ya pili huyu anagaa hapa.....lakini huwa anarudi tu
 
Back
Top Bottom