Mkulima wa Kuku
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 1,270
- 534
<br />Ondoka maana mimi sikupendi sana, unaanzisha thread eti nimetukanwa sijui mijitu mingine ikoje, si usepe tu kama kuna mashoga zako unataka kuwaaga si uwaandikie PM tu. Hongera aliyekutukana maana imenisaidia sana kukufuta kwenye uso wa JF na ukionekana hapa tu utachezea mijitusi ya kufa mtu.
Mmmmhhh........napita tu
Mmmmhhh........napita tu
<br />Usiogope wewe Nakupenda.
mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda
<br /><b>mimi ni member wa hapa nawaheshimu sana wenzangu leo nimekuja na kero yangu ila nimetukanwa nimereport abuse nashukuru mod wamefuta ila nimesikitika sana kwaherini kwa majonzi tutaonana siku mungu akipenda</b>