Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliozesha pacha wangu kama miaka mitano ilishapita ,huko kwa wahaya nilihakikisha anaenda bure kabisa kwa sababu wajomba walitaka kuingiza drama ila sisi kama familia hatukua tunataka chochote ,kwa sababu mahari ni kama biashara tu.Ni kweli inategemea familia ila kwa ujumla ukienda uchagani jiweke vizuri.
Acha uoga kijana. Mahari huwa haiishi. Wewe tuma mshenga wako wapeleke hiyo 1.5m, hakuna atakaeikataa hela. Mipango ya harusi itaendelea, utaoa maisha yataendelea. ACHA UOGA.Wakuu habari za muda huu
Kijana wenu nina umri wa miaka 28
Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa
Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias flan kama mahari (million 1) nikamwambia mwenzangu kwamba hima hima kaongee na mama kama ataweza kuongea na mzee bc mahari isizidi hapo.
Mwenzang akanifata na kunijulisha kwamba mzee amekubal lkn anaomba angalau basi iwe 1.5 ili waweze kugawana nyumban na baadhi ya ndugu kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu) bc nilikubali kulipa hyo 1.5 lkn kwa malipo ya kidogo kidogom
Jana kwa neema ya Mungu ndugu na familia yangu wakaongozana hadi kwao na mwenzang kwa ajili ya kutoa kishika uchumba na pia kulipa nusu ya mahali tuliyokubaliana
Baada ya kufika huko ndugu zangu hawakuamin walichokutana nacho huko ambacho ht mm mpk sasa siamin bado.
Mahari wamekuta ni million 4 na mahitaji kama koti la babu na vitu vingine jumla million 2 yan TOTAL ni million 6.
Kwa bahati mbaya sikuwepo ila laiti kama ningekuwepo bc ningewaomba ndugu zangu turudi nyumban
Nimesikitishwa sana na kilichotokea jana japo ndugu wamenishauri nisioneshe nia ya kukataa kuendelea na binti huyo lakini naona kabisa sitoweza najiona nikimuacha na kuendelea na maisha yangu
Ukweni wamenionesha rangi halisi kwamba kwao pesa ndio kipaumbele kikubwa kulko upendo.
Roho imeniuma sana nimejitoa vitu vingi sana ukweni kabla ya cku ya jana malipo yake ni mahari ya kukomoana kiasi hiki
Wakuu naombeni faraja zenu na ushauri wenu nifanye nini katika swala hili.
Natanguliza shukran🙏
kwanza uelewe kwa tamaduni nyingi mahari inaongelewa na ndugu/ukoo na si baba wa binti tuWakuu habari za muda huu

mahari siyo issue ya kidini .Acha ubishi.
Kuna waislamu makabila tofauti. Mfano kwa waislamu wa Bukoba kinachoangaliwa Ni Mila za kihaya. Kwa waislamu wa kizaramo uislamu ndio unaangaliwa.
Inategemea binti Ni muislamu wa wapi.
Unategemea muislamu wa kikuria adai mahari ya laki tatu? Au muislamu wa kijaluo adai mahari ya elfu hamsini?
Sio bint yao tu ata wao hawatakauka kulia shida.nmesoma replies zenu nimejifunza mambo kadha wa kadha, Ifike pahala Wazaz/walez wasitangulize tamaa ya pesa maana pesa hutumiwa na huisha ila mahusiano mema yatayounganishwa na kijana na bint wao hudumu daima.
Hilo ni kweli mwamba waislamu mwanamke anataja mahari yake ila siku hizi mambo yanaenda tofaut kidogo mahari inajadiliwa before alaf yeye atasema tu siku hizi kuoa mahari gharama kwa wote sio zipo ila zinaendana na hadhi ya familia mara nyingiAcha ubishi mkuu waislamu hawana mambo mengi kwenye suala la mahari hilo lipo wazi sio mambo ya kusadikika.
ikitokea hivyo piga mimba bint alf potea mazima amna ata simu ww ongea na binti yao tu hudumia mimba utaoa kwa hiyo 200k mkuuFamilia zenye fikra za kimaskini, hao watakusumbua sana ukilipa hiyo 6m...
We kaa kimya tu watakutafuta wenyewe wakuombe ata 200k
Hao unaowaita wakubwa zako wamekudanganya(huenda na wao hawana uelewa kuhusu hilo) kwa sababu msingi mkuu wa ndoa ni mahari bila mahari hakuna ndoa na inasisitizwa sana muowaji kumaliza mahari haraka iwezekanavyo kwa sababu ikitokea umefariki kabla ya kumaliza deni la mahari kesho utakuwa na dhima kubwa kwa Mola wako.kwakuwa natambua kwamba mahari huwa haiishi (baada ya kuelezwa na wakubwa wangu)
Kwahyo hakumuoa ?Kuna siku tulikwenda kumuwakilisha dogo kwenye kutoa mahari, Kuna kiasi elekezi tulichoambiwa, kufika ukweni kabla ya kula tukaingia kufanya negotiations kwanza. Wakwe wakatuona labda tuna pesa Sana wakapandisha kila kitu zaidi ya Mara nne kupunguza wamegoma. Sisi tukasema hebu tutoke nje tukatete halafu tunarudi kutoa mrejesho. Ile kutoka nje tukampigia muoaji simu kwamba Mambo huku si Mambo. Dogo akasema, Wala msirudi kuaga ingieni kwenye gari rudini acha wale chakula Chao wenyewe na Mimi nambwaga binti Yao. Kwani tutakutana nao wapi sisi kila mtu anatokea mkoa wake. Ndio ikawa binti arudi sokoni Tena kutafuta mchumba mwingine.