Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Mwandishi na mchangiaji mtulivu asiye na makeke, hata umchokoze vipi anatabasamu anakuita tu Mkuu.... Mpaka unajisikia aibu. Alilelewa vizuri na wazazi wake akashika maagizo yao.
Msomi wa kiwango cha juu wa shahada ya Ustahimivu. Na elimu kwa ngazi ya PhD kwenye suala la mahusiano na saikolojia. Amenitunuku cheti cha JF VAR. kutokana na kutambua mchangu wangu mkubwa kwa wasomaji toka nlipoanza kumweka sawa yule dogo nliyemweka mjini alipotoka Mara huko bush na kukaa kaa Musoma kidogo.
Mimi nlimwingiza town amefika JF akanigeuka. Toka kipindi hicho wadau wakaomba niwe nawasaidia kuangalia fact ya hadithi za paukwa pakawa ambazo watu hutaka lazimisha zionekane za kweli.
Nimetunukiwa cheti na medal ya Almas na prof, dr, sir Analyse nami kwa heshima na taadhima napokea. Natumie nafasi hii kumwambia yule andunje mpenda wadudu. NAJA. kwa ubishi na hasira mimi naja.... Akae chonjo. Sitoacha kumgonga akileta habari zake za kiduanzi.