Sikutegemea ningepewa Heshima kubwa kama hii humu JF. Medal hii nitakuja waonesha wajukuu zangu

Sikutegemea ningepewa Heshima kubwa kama hii humu JF. Medal hii nitakuja waonesha wajukuu zangu

Sema mkuu Chizi Maarifa Kuna mdau kanifata pm anauliza ambao hawajamaliza story ni wengi sana, mbona umemkomalia Steve peke yake? 😅😅
Aniwekee hapa majina. Mimi huwa napewa majina tu maana huwa hizo stories nasoma mpaka napoletewa malalamiko na wadau. Mwambie alete barua ofisini atamje mhusika anipe na link. Nifanyie kazi malalamiko yake. Hatuwezi acha watu walete stories zao humu halafu waanze madeko utadhani tuliwaomba walete
 
Nimeketi mahala pa juu kabisa na buruji la waswahili. Naam nimekupata vema kabisa
 
Back
Top Bottom