Sikutegemea Rais Samia angeiongoza Tanzania Masikini vizuri kuliko Magufuli

Nimeshangaa kuona nchi ipo kwenye Mstari bila polisi kupiga Mabomu, bila kuwananga Watendaji kwenye majukwaa ya Siasa, Bila watu kutekwa na Wasiojulijana, Shule zinajengwa za msingi hadi zawekwa tiles.
🤣🤣🤣🤣Mungu ni mwema
 
Ndio ukweli huo siyo waziri tu hata maDC
 
Hata Mimi Nina amani Sana strictly speaking from the heart...kwanza nimekuwa na maendeleo makubwa Sana tofauti na mwendazake...mwenyezi mungu amjaalie atawale mpaka 2030 ameen
Tangia awatukane wana Kagera. Mto mgono nyie, ukimwi nyie. Matetemeko nyie alaf anarudi eti kutuosha eti "Mimi ni mzila nkende" akaambiwa ushatukana adhabu kutoka kwa Mungu utaipata tu . Si kwa kula hela za maafa ya wanakagera.
 
Kama aliweza JPM hata mjmi naweza.
 
Mama kaituliza nchi,sasa hali ni shwari na tulivu, tulikua na hofu hata kuchart kwenye mitandao kuogopa wasiojulikana...Mungu aendelee kumpa afya njema mama yetu.
 
Tangia awatukane wana Kagera. Mto mgono nyie, ukimwi nyie. Matetemeko nyie alaf anarudi eti kutuosha eti "Mimi ni mzila nkende" akaambiwa ushatukana adhabu kutoka kwa Mungu utaipata tu . Si kwa kula hela za maafa ya wanakagera.
alikuwa akiweza kufurahia kutumia pesa umma kununua wapinzani na baadae kurudia uchaguzi( atleast 2bn kwa jimbo) lakini hapo hapo akala pesa za maafa
 
Mama kaituliza nchi,sasa hali ni shwari na tulivu, tulikua na hofu hata kuchart kwenye mitandao kuogopa wasiojulikana...Mungu aendelee kumpa afya njema mama yetu.
Kwa kweli sasa watu wananenepa.

Waziri Bashe alisema juzi alimwambia atamtumbua na kumtia jela.🤣🤣
 

Wewe ndio sampuli ya mtu mwenye akili za kawaida.
 
Wewe na nani mnaosema?

Hii nchi imejaa watu wapumbavu wengi kama wewe.

Yaani wewe unataka upate maoni ya mtu mwingine kukwambia kama hiki kitu kiko sawa ama hakiko sawa, wewe huoni?


Kwamba huyo waziri angesema jamaa alikua poa ungekuja kusema alikua poa, akisema alikua mbaya basi na wewe unashupaza shingo alikua mbaya, kwa nini usimamie msimamo wa mtu mwingine, kwani wewe huna akili?
 
Sitaki kuishi kwa kukariri, mabaya ya JPM hata kama yalikuwa makubwa kiasi gani hayawezi kunifanya nisione mabaya ya sasa.

Haya mahaba yenu ndio yanasababisha mumdumaze akili aendekee kuvunja sheria atakavyo, halafu mkishtuka usingizini mnaanza kumlalamikia tena!
 
Kwani mimi nilileta tetemeko
 

..i encourage you kuusimamia na kuuhoji utawala wa Ssh. Hiyo ni haki na wajibu wako kama raia mwema na mzalendo.

..siyo kwamba tumekariri mabaya ya Jpm. The fact is, he was that bad. Na tunakumbusha mabaya yake ili yasijekujirudia.
 
Mabosi wauza mafuta wanafuraha zaidi wakiitazama kilimanjaro.
 
Nikisoma baadhi ya comment ya watanzania kuna andiko ambalo linakuja kichwani mwangu Marko 6-4
4 Yesu akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika mji wake mwenyewe, na miongoni mwa jamaa na ndugu zake, na nyumbani kwake

Huyu huyu magufuli alipinga kuweka watu lockodown kuwa corona ni ugonjwa kama magonjwa mengi licha ya watu kutishwa lakini mwamba alisimama peke yake kutetea INCH yake na kuna baadhi ya wapumbavu walimpinga wengine wakamuita kichaa lakini leo tuko wapi?
Magufuli alifanya Tanzania iwe INCH yenye nguvu kubwa barani Afrika
Watu wengi walitamani kuwa wa Tanzania
Magufuli ambaye alifanya Tanzania ipande kiuchumi
Magufuli alikuwa kiongozi mwenye ushawishi mkuu duniani sio Afrika magufuli alikuwa kiongozi kipenzi cha wa africa
Magufuli alikuwa na uwezo wa kutoka Tanzania na kwenda katika inch zingine na kupokelewa kiufalme
Lakini watanzania ninyi ndo mnazarau wakongo sisi tuna tamani tungelipata kama yule mpaka sasa hivi upumbavu wa Rwanda ungelibaki kuwa story magugu was one of the powerful leader in Africa and many peoples know this
 
Sidhani kama ku
n rais atafanya vibaya zaidi ya Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…