Sikutegemea Rais Samia angeiongoza Tanzania Masikini vizuri kuliko Magufuli

..i encourage you kuusimamia na kuuhoji utawala wa Ssh. Hiyo ni haki na wajibu wako kama raia mwema na mzalendo.

..siyo kwamba tumekariri mabaya ya Jpm. The fact is, he was that bad. Na tunakumbusha mabaya yake ili yasijekujirudia.
Yafuatayo yameshaanza kujirudia.

- Kutofuata sheria [ covid 19 bungeni].

- Kufungia blogs zisizoandika wayapendayo [darmpya blog].

- Kuwateka wapinzani wanaowapinga [Twaha Mwaipaya].

Hivyo msipoteze muda wenu kumsema marehemu wakati hali ya sasa imeshaanza kuwa mbaya.
 
Hivi mnajua hizi stori za Magufuli tunazoziongelea hapa jukwaani mi nilijua ni sisi tuu au baadhi ya watu mtaani basi...

Mwezi March mwaka huu nilibahatika kwenda nyumbani kwa Waziri Fulani (Jina Linahifadhiwa) , mimi nilikuwa msindikizaji kwenye hafla flani ya kifamilia ya huyo Waziri...

Kitu kilinishangaza Baadae kwenye tafrija na story za hapa na pale huku tumechoka na tunajiandaa kuaga.. ni pale yule Waziri alipochomekea kiujanja kuhusu uongozi wa Magu kwa kusema.... " He was not fit enough for the big office in our country "

Nikiwa njiani tulijiuliza mengi... tukasema kumbe sio sisi tuu tunaomsema pekee... bali hata humo Serikalini watu wanaongea lugha moja...
Watu wote wenye akili na wanaofuatilia siasa za nchi hii, ( achana na hao wasio na elimu wanaoitwa sijui wanyonge) watakuambia Magufuli hakupaswa kuwa Rais wa nchi hii
Yaani hadi Samia ambaye amekuwa Rais kwa bahati mbaya anaonekana kiongozi mzuri kuliko Magufuli ujue alikuwa mbovu namna gani
 
Alishasema hakutaka Apendwe mke wake alishampenda imetosha,huku watu kila siku ni kuanzisha uzi

Yalishapita hayo,wakunyooka walinyooshwa,tufanye mambo mengine sasa 😁😁
Wewe ndiye mke wake nini? Maana sio kwa mahaba hayo...
 
Huwa nasema kila siku humu kwamba Magu ndio rais bora kabisa kuwahi kutokea hapa tz!

Ukishaona mtu anakuongelea sana ujue umemzidi
 
Yafuatayo yameshaanza kujirudia.

- Kutofuata sheria [ covid 19 bungeni].

- Kufungia blogs zisizoandika wayapendayo [darmpya blog].

- Kuwateka wapinzani wanaowapinga [Twaha Mwaipaya].

Hivyo msipoteze muda wenu kumsema marehemu wakati hali ya sasa imeshaanza kuwa mbaya.

..nakubaliana mia kwa mia kuhusu kukemea uhuni na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya Ssh.

..tunaweza kukemea na kuihoji awamu ya 6 bila kuwasahau wahanga wa unyama wa awamu ya 5.
 
View attachment 2283628
Salaam Wakuu,

Waliposema Nchi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli?

Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu.

Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi yeye, dereva yeye, mpiga ngoma yeye, Mchezaji yeye, muendesha mashitaka yeye.

Alifikia hatua ya kuamua ufe au uishi kama vile yeye ni Mungu. Nikajiuliza, hii roho ya hivi huyu mama hana, je, akibadilisha muelekeo itakuaje?

Nimeshangaa kuona nchi ipo kwenye Mstari bila polisi kupiga Mabomu, bila kuwananga Watendaji kwenye majukwaa ya Siasa, Bila watu kutekwa na Wasiojulijana, Shule zinajengwa za msingi hadi zawekwa tiles.

Hakika Wasiojulikana Wamezikwa na Magufuli. Tarehe 30 Tundu Lissu anarudi mambo yawe mwemelemwemele.

Tumuombee Rais wetu Samia Hassan aendelee kuwa na hofu na Mungu. Sasa tunaiona Kesho ya Tanzania tofauti na yule rais akiamka alikuwa anaamka na akili mpya.

Hakukuwa na wakumfunga kengere mzee yule mwendazake
View attachment 2283624View attachment 2283625View attachment 2283626
Samia ni intelligent woman,ana kifua na ana Uongozi shirikishi..

Yule jamaa yenu Alikuwa anahemka na Alikuwa haamini mtu hukunakijifanya ana akili kuliko Watu wote kumbe mjinga 😆😆😆😆😆
 
Ongoza ww bac SUKUMA GANG
Kama huyu mama anaweza kuongoza nchi basi hii nchi haina sifa za kuiongoza, yoyote anaweza kuiongoza.

Wapiga debe mtapiga sana kwa sababu mna midomo mikubwa ila ukweli ni kwamba huyu mama ni sifuri.

Huhitaji elimu ta form six kuona kua hili taifa limepoteza dira chini ya huyu Mzanzibari.

Muda ni mwalimu mzuri, muda utasema tu ila ukweli ni kwamba hii nchi rais hakuna.
 
View attachment 2283628
Salaam Wakuu,

Waliposema Nchi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli?

Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu.

Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi yeye, dereva yeye, mpiga ngoma yeye, Mchezaji yeye, muendesha mashitaka yeye.

Alifikia hatua ya kuamua ufe au uishi kama vile yeye ni Mungu. Nikajiuliza, hii roho ya hivi huyu mama hana, je, akibadilisha muelekeo itakuaje?

Nimeshangaa kuona nchi ipo kwenye Mstari bila polisi kupiga Mabomu, bila kuwananga Watendaji kwenye majukwaa ya Siasa, Bila watu kutekwa na Wasiojulijana, Shule zinajengwa za msingi hadi zawekwa tiles.

Hakika Wasiojulikana Wamezikwa na Magufuli. Tarehe 30 Tundu Lissu anarudi mambo yawe mwemelemwemele.

Tumuombee Rais wetu Samia Hassan aendelee kuwa na hofu na Mungu. Sasa tunaiona Kesho ya Tanzania tofauti na yule rais akiamka alikuwa anaamka na akili mpya.

Hakukuwa na wakumfunga kengere mzee yule mwendazake
View attachment 2283624View attachment 2283625View attachment 2283626
Wanao tawalika ni watanzania! Hata wewe ulivyo hivyo unaweza kutawala Tanzania!
 
Hao uliowataja ni special sana nchi hii????
Kama hana pressure ya makundi kwanini akawaondoa kina Lukuvi na Ndugai kwenye serikali yake, na kuwajaza watoto wa marafiki zake, na yule waziri shemeji yake?

Mnamjaza sifa za uongo.
 
View attachment 2283628
Salaam Wakuu,

Waliposema Nchi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli?

Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu.

Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi yeye, dereva yeye, mpiga ngoma yeye, Mchezaji yeye, muendesha mashitaka yeye.

Alifikia hatua ya kuamua ufe au uishi kama vile yeye ni Mungu. Nikajiuliza, hii roho ya hivi huyu mama hana, je, akibadilisha muelekeo itakuaje?

Nimeshangaa kuona nchi ipo kwenye Mstari bila polisi kupiga Mabomu, bila kuwananga Watendaji kwenye majukwaa ya Siasa, Bila watu kutekwa na Wasiojulijana, Shule zinajengwa za msingi hadi zawekwa tiles.

Hakika Wasiojulikana Wamezikwa na Magufuli. Tarehe 30 Tundu Lissu anarudi mambo yawe mwemelemwemele.

Tumuombee Rais wetu Samia Hassan aendelee kuwa na hofu na Mungu. Sasa tunaiona Kesho ya Tanzania tofauti na yule rais akiamka alikuwa anaamka na akili mpya.

Hakukuwa na wakumfunga kengere mzee yule mwendazake
View attachment 2283624View attachment 2283625View attachment 2283626
Mwendazake hakuwa na utashi
 
Back
Top Bottom