Sikutegemea Rais Samia angeiongoza Tanzania Masikini vizuri kuliko Magufuli

..i encourage you kuusimamia na kuuhoji utawala wa Ssh. Hiyo ni haki na wajibu wako kama raia mwema na mzalendo.

..siyo kwamba tumekariri mabaya ya Jpm. The fact is, he was that bad. Na tunakumbusha mabaya yake ili yasijekujirudia.
Yafuatayo yameshaanza kujirudia.

- Kutofuata sheria [ covid 19 bungeni].

- Kufungia blogs zisizoandika wayapendayo [darmpya blog].

- Kuwateka wapinzani wanaowapinga [Twaha Mwaipaya].

Hivyo msipoteze muda wenu kumsema marehemu wakati hali ya sasa imeshaanza kuwa mbaya.
 
Watu wote wenye akili na wanaofuatilia siasa za nchi hii, ( achana na hao wasio na elimu wanaoitwa sijui wanyonge) watakuambia Magufuli hakupaswa kuwa Rais wa nchi hii
Yaani hadi Samia ambaye amekuwa Rais kwa bahati mbaya anaonekana kiongozi mzuri kuliko Magufuli ujue alikuwa mbovu namna gani
 
Alishasema hakutaka Apendwe mke wake alishampenda imetosha,huku watu kila siku ni kuanzisha uzi

Yalishapita hayo,wakunyooka walinyooshwa,tufanye mambo mengine sasa 😁😁
Wewe ndiye mke wake nini? Maana sio kwa mahaba hayo...
 
Huwa nasema kila siku humu kwamba Magu ndio rais bora kabisa kuwahi kutokea hapa tz!

Ukishaona mtu anakuongelea sana ujue umemzidi
 

..nakubaliana mia kwa mia kuhusu kukemea uhuni na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya Ssh.

..tunaweza kukemea na kuihoji awamu ya 6 bila kuwasahau wahanga wa unyama wa awamu ya 5.
 
Samia ni intelligent woman,ana kifua na ana Uongozi shirikishi..

Yule jamaa yenu Alikuwa anahemka na Alikuwa haamini mtu hukunakijifanya ana akili kuliko Watu wote kumbe mjinga 😆😆😆😆😆
 
Ongoza ww bac SUKUMA GANG
 
Wanao tawalika ni watanzania! Hata wewe ulivyo hivyo unaweza kutawala Tanzania!
 
Hao uliowataja ni special sana nchi hii????
Kama hana pressure ya makundi kwanini akawaondoa kina Lukuvi na Ndugai kwenye serikali yake, na kuwajaza watoto wa marafiki zake, na yule waziri shemeji yake?

Mnamjaza sifa za uongo.
 
Mwendazake hakuwa na utashi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…