Sikutegemea Rais Samia angeiongoza Tanzania Masikini vizuri kuliko Magufuli

Rais Samia Suluhu ametutoa mbali sana aisee kuna watu waliona kama nchi ni ya kwao peke yao lakini sasa chini ya Rais Samia Suluhu Tanzania imekua na uhuru wa vyombo vya habari uhuru wa kujieleza pia miradi inakamilika kwa uwazi kabisa sio kwa kujificha kweli Rais Samia Suluhu anaupiga mwingi sana
 
Hakuna mradi uliosimama chini ya Rais Samia Suluhu miradi yote inaendelea
 
Hivi ili mtu uwe na tabia ya kusifiasifia sana nakusujudu unatakiwa kuwa nazo?
 
Sababu za chuki ni mbili tu, uzanzibari wake na jinsia yake.
 
Mjinga wewe
 
Kakuongoza wewe vizuri sio watanzania wala nchi ya Tanzania. Tanzania sio masikini ila ikiongozwa na watu wasio na ucgungu nayo ndio inaonekana ni maskini maana kila kukicha kukopa
 
Kucheka inaruhusiwa au kulia tu katika huu Uzi? [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…