bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,894
- 947
Huyo mzanzibari hatawali tanganyika anatawala TanzaniaKwa nini Mzanzibar atawale Tanganyika kwa kisingizio cha Muungano.
Huyo mzanzibari hatawali tanganyika anatawala TanzaniaKwa nini Mzanzibar atawale Tanganyika kwa kisingizio cha Muungano.
Lakini unakubali kuwa Zanzibar ipo lakini Tanganyika haipo?Huyo mzanzibari hatawali tanganyika anatawala Tanzania
Ndio Zanzibar ipo ila tanganyika haipo sasa kwa ushauri muitafute kwanza hiyo tanganyika imepelekwa wapi ?na ni nani huyo alieipeleka huko ?na ameipeleka kwa maslahi ya nani ?hapo itakuwa mumepata kwa kuanzia kinachofuata muanze sasa kupambana kuirudisha huko ilikopelekwaLakini unakubali kuwa Zanzibar ipo lakini Tanganyika haipo?
Ni CCM kwa maslahi ya mafisadi kama Kikwete,Wassira,Ndugai na Mwigulu Nchemba.Ndio Zanzibar ipo ila tanganyika haipo sasa kwa ushauri muitafute kwanza hiyo tanganyika imepelekwa wapi ?na ni nani huyo alieipeleka huko ?na ameipeleka kwa maslahi ya nani ?hapo itakuwa mumepata kwa kuanzia kinachofuata muanze sasa kupambana kuirudisha huko ilikopelekwa
Kumbukumbu zinaonyesha imepelekwa huko ilikopelekwa kabla hiyo ccm haijazaliwaNi CCM kwa maslahi ya mafisadi kama Kikwete,Wassira,Ndugai na Mwigulu Nchemba.
Walioko magerezani ni wezi wa kuku na vibaka wadogo wadogo na wengine wameonewa kama kubambikizwa kesi na polisi na kesi za kuwatengenezea wanasiasa wanaoogopwa na viongoziHuyo ropo ropo ana uzalendo gani zaid ya kusema mara MIGA?
Ana uzalendo gani huyo ambaye amekimbiza watoto wake na mke wake(anataka watoto wa nani waumie)
ana uzalendo gani wakati hata wa jpm alionyesha kinyongo cha ****** kabisa, jpm anapgania maslahi mapana ya taifa yeye anaungana na barrick?
uzalendo gani wa kukinukisha ili watoto na akina mama waumie wakati wa kwake wapo ulaya?
huyo si kufungwa tu, "HUYO ANATAKIWA KUNYONGWA HADI AFE"
Which literally means kujikomboa kutoka katika makucha ya mkoloni wa Kizanzibari, I get your point.Aliposhia mtikila ni kupambania kuirudisha serikali ya Tanganyika
👆🏾Hii post itengenezwe kwenye billboards ziwekwe kwenye barabara kubwa/muhimu zote Tanganyika.Hapo mwanamke amewekwa kama picha tu ya ukutani. Wahuni ndiyo wanaotawala. Na hizo pesa za kununulia mitungi ya gesi, baiskeli na pikipiki za kuwahongea wajinga; usikute ni hao wahuni ndiyo wametoa ili baadaye zirudi mara dufu kupitia unyonyaji na wizi wataoa ufanya kwenye raslimali zetu.
Ndugai pamoja na mapungufu yake yote! Alitahadharisha mapema kuhusu jambo hili. Mpaka kufikia hiuo 2030, nchi yote itakuwa imeshauzwa.
Na Tanganyika anaitawala pia na anaamuru hatma za welfare za Watanganyika.Huyo mzanzibari hatawali tanganyika anatawala Tanzania
Tanganyika sii haipo ?atatawalaje kitu ambacho hakipo ?Na Tanganyika anaitawala pia na anaamuru hatma za welfare za Watanganyika.
Ipo, ndiyo wazuvendi mnaiita Tanzania bara na Watanganyika wapo.Tanganyika sii haipo ?atatawalaje kitu ambacho hakipo ?