Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
MAADUI WA TANGANYIKA NI WATANGANYIKA WENYEWE...MSITAFUTE MCHAWI. MLIPONGANG'ANIA MUUNGANO WA SERIKALI MBILI NA MKAIONDOA TANGANYIKA KWENYE RAMANI YA DUNIA HAMKUTABIRI MATOKEO? NDIO MAANA LEO MNAONA AIBU HATA KUJITAMBULISHA NYINYI NI WATANGANYIKA LAKINI WAZANZIBARI BADO WANAISHI NA UTAMBULISHO WAO.
 
Wapi tumeabudu watawala? Bado unaendelea kuonesha kiwango chako cha ujinga. Hili la Zanzibar kulindwa ni jambo la Nyerere. Yeye ndiye aliyebuni huu muungano. Mlani yeye na tamaa zake za fisi. Nikuambie tu kwamba Wazanzibari wanayo haki sawa na Watanganyika linapokuja swala Tanzania. Ikiwa hamuridhiki huu ni wakati wenu wa kuuvunja huu muungano, jambo ambalo sisi wengine tunalisubiri kwa hamu.
Uko sawa kabisa bila chenga.Shida inakuja tunapolilia aina ya Muungano mnatuona sisi ni wasaliti.Ninyi Zanzibar mna Rais sisi Tanganyika hatuna,mna Bunge sisi Tanganyika hatuna,mna Mahakama sisi Tanganyika hatuna,mna Taifa huru sisi Tanganyika hatuna.Mimi nafikiri unapoona mtu analalamika kuna mahali hapako sawa,kwa hiyo kazi ya muhimu ni kufanyia kazi sehemu yenye shida ili kusiwe na manung'uniko.
 
Kwa hiyo unategeme huyo bibi ndiye avunje muungano?Mungemuachia Tundu Lissu muone mziki wake,angeshinda mchana kweupe na kisha kuuvunjilia mbali huo muungano wa mchongo
 
Nyerere alisema tunataka raisi ambaye tukimuangalia machoni tunaona huyu ataulinda Muungano. Na G55 walifanikiwa kupitisha bungeni muswada wa serikali tatu. Kuwalaumu wazanzibari kwa muungano wa serikali 2 si haki.
 
Uko sawa kabisa bila chenga.Shida inakuja tunapolilia aina ya Muungano mnatuona sisi ni wasaliti.Ninyi Zanzibar mna Rais sisi Tanganyika hatuna,mna Bunge sisi Tanganyika hatuna,mna Mahakama sisi Tanganyika hatuna,mna Taifa huru sisi Tanganyika hatuna.Mimi nafikiri unapoona mtu analalamika kuna mahali hapako sawa,kwa hiyo kazi ya muhimu ni kufanyia kazi sehemu yenye shida ili kusiwe na manung'uniko.
Nayo hiyo ni moja ya mambo ya ajabu! Tumekuwa tukilalamikia muundo na utamaduni huu wa muungano daima. Hata kwenye bunge la katiba ya Warioba tumelalamika hadi Mwanasheria mkuu akajiuzulu, nanyi mukashupaza shingo kwa sababu muna maslahi mapana kuikalia Zanzibar. Eti leo kwakuwa kuna Mzanzibari ni Rais, nanyi kwa kiburi chenu munachukia Mzanibarii kuongoza munakuja na longolongo kwa sababu ya ubaguzi wenu, eti Zanzibar hivi na vile, lkn akikaa Mtanganyika munasema Zanzibar idhibitiwe isijekuleta siasa kali.

Sasa Wazanzibari, kama ilivyo kwa Watanganyika, wataongoza kwa mujibu wa katiba na sheria nyingine, mutake musitake.
 
Alaaniwe alie muua mtikila , combo ya mtikila na lissu CCm wange kimbia zamani sana
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Utahangaika sana na jinsia

Zanzibar ni Tanzania na hakuna Nchi inayoitwa Tanganyika.
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Tanganyika machogo ni maboya, limekuwa koloni la Zanzibar na kila chogo analijua lakini hilo tatizo licha ya kuwa linajulikana kuna machogo wanaonufaika na kutawaliwa huku na wana nguvu za kumkandamiza, kumpoteza au kumteketeza chogo yoyote atakayejaribu kupingana na ukoloni uliopo.
Huu uboya na uzoba wa machogo kwa kiasi kikubwa ni wa kujitakia wenyewe, acha Wazanzibari waendelee kuifaidi Tanganyika huku machogo wakilia na kusaga meno.
 
Kwa hiyo unategeme huyo bibi ndiye avunje muungano?Mungemuachia Tundu Lissu muone mziki wake,angeshinda mchana kweupe na kisha kuuvunjilia mbali huo muungano wa mchongo
Inaelekea humjui Lissu. Ulizia vizuri kuhusu yeye kwa maswala ya Zanzibar. Nikumbushe tu kwamba ameshasema zaidi ya mara moja kwamba Zanzibar inaonewa kwenye muungano. Leo kawa vingine kwasababu anayeongoza ni Mzanzibari, naye kama Watanganyika wengine wengi, wanatamani wao tu waitawale Zanzibar na kuwadhulumu Wazanzibari.

Kuhusu mama yeye kuuvunja muungano, yeye bado ni Mzanzibari na Wazanzibari kila walipotaka kuuvunja walidhibitiwa na Watanganyika na kusulubiwa, hivyo ni juu yenu kufanya hivyo sasa.
 
Alaaniwe alie muua mtikila , combo ya mtikila na lissu CCm wange kimbia zamani sana
IMG_1386.jpeg
 
Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Nahisi kama rasilimali za Tanganyika ni kama shamba la bibi. Zinawanufaisha sana elites wa ccm. Na zaidi zaidi zinawanufaisha Wapemba na Waunguja!
WaTanganyika wao wametelekezwa pembeni wakisubiria fadhila za elites!
 
Back
Top Bottom