- Thread starter
- #21
Umeshesema mwanamke mtanganyika halafu unasema akagombee Zanzibar mbona unajichanganya ?atagombeaje Zanzibar wakati ni mtanganyika?pole sana
Kwani huyo samia ni Mtanganyika?Mgeni gani ambae amepewa Nchi?
Umeshesema mwanamke mtanganyika halafu unasema akagombee Zanzibar mbona unajichanganya ?atagombeaje Zanzibar wakati ni mtanganyika?pole sana
Kwani huyo samia ni Mtanganyika?Mgeni gani ambae amepewa Nchi?
Mtatumia nguvu nyingi sana kumnadi,na itabidi mjiibie kura ila kumuongezea jinsi msivyo kuwa na haya,maana watu wengi hawatahangaika na kupiga kura,nazani hui ukweli mnaujuaKwani huyo samia ni Mtanganyika?
Samia sio mtanganyika kwa hiyo hoja yako ni ipi ?Kwani huyo samia ni Mtanganyika?
Mtuachie Watanganyika inchi yetu,tupate Rais mwenye uchungu na rasilimali zetuSamia sio mtanganyika kwa hiyo hoja yako ni ipi ?
Tanzaniaaaaaa!Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Umeshesema mwanamke mtanganyika halafu unasema akagombee Zanzibar mbona unajichanganya ?atagombeaje Zanzibar wakati ni mtanganyika?pole sana
Tunamtaka Rais mtanganyika mwenye uchungu na rasilimali zetu kama MagufuriMgeni gani ambae amepewa Nchi?
Mwashambwa anasemajeHivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Muachiwe nchi yenu tanganyika?kwani hiyo tanganyika imechukuliwa na nani ?Mtuachie Watanganyika inchi yetu,tupate Rais mwenye uchungu na rasilimali zetu
Muekeni tu huyo Rais mtanganyika hakuna tatizoTunamtaka Rais mtanganyika mwenye uchungu na rasilimali zetu kama Magufuri
wewe ndo mgeni. Wewe ni Mhutu inakuhusuje nchi hii, hata unapata uthubutu wa kumwita mgreni? Tunakujua fika.Yaani unaniuliza mimi nataka nini?Mnafunga Tundu Lissu mzalendo unampa inchi mgeni tena mwanamke unaakili wewe
Sijachanganya damu yangu sijui na waarabu wa Omani mimi ni mgogo pure na nywele kipiripiri na kichogo changu original,sijui wewe unayejipachika utanganyika kwa maslai yako kama RostamanMkuu
wewe ndo mgeni. Wewe ni Mhutu inakuhusuje nchi hii, hata unapata uthubutu wa kumwita mgreni? Tunakujua fika.
Hujui hata kuandika kiswahili unaonekana uko OmanIgnorance of its kind. Tupo Tanzania iliyoasisiwa na Mtanganyika. Hujui hata kilivhotokea, halafu unakuja na mihemko. Waanzilidhi wa ni wale wa pande za Bara. Rejea kauli za Nyerere, Sitta na za yule aliyesema kanisani. Kwa nyinyi mulivyo, hata wewe ukipata ulwa leo utasema kama walivyosema hawa winzio. Kwani nyinyi muna tamaa ya fisi na husda ya kuzaliwa.
Tanzania itabaki mukitaka ibaki na itakufa mukitaka ife. Fanyeni basi, kwani sisi tulifanya mukatuzuia kwa mateso na vifungo, sasa fanyeni kwani wengi wetu huku hatuutaki huu.
Wakati ni huu.
Hata mwanaume wa Tanganyika ni Kafiri kwa hioyo hastahili kuwa Rais wa Zanzibar.Hivi haya yanayofanyika yangewezekana kufanyika Zanzibar,atoke Mwanamke Tanganyika akagombee Urais Zanzibar na Wazanzibar wakamkubali,thubutu walahi isingetokea hata kidogo kwanza kwa msimamo wao wa kidini insingewezekana
Hizo jamii zote ni wana vipenyo wao wanafurahia ili maisha ya familia zao yaneemeke.Yaani tumegeuka kuwa Taifa la wajinga kama tumerogwa,sisi ndiyo inchi iliyokuwa na misimamo leo hii mwanamke kutoka Zanzibar anakuja kututawa kweli? Tutawambia nini Wamasai na Wasukuma kanda ya ziwa,unawambia nini Wahehe na Wanyakyusa watakuelewa maana hizo ni jamii ambazo mwanamke hana nguvu na siyo ubaguzi bali ndiyo ukweli sababu huwezi kumfananisha Magufuri na Samia hata kwa dawa
NO ELECTION NO REFORMIgnorance of its kind. Tupo Tanzania iliyoasisiwa na Mtanganyika. Hujui hata kilivhotokea, halafu unakuja na mihemko. Waanzilidhi wa ni wale wa pande za Bara. Rejea kauli za Nyerere, Sitta na za yule aliyesema kanisani. Kwa nyinyi mulivyo, hata wewe ukipata ulwa leo utasema kama walivyosema hawa winzio. Kwani nyinyi muna tamaa ya fisi na husda ya kuzaliwa.
Tanzania itabaki mukitaka ibaki na itakufa mukitaka ife. Fanyeni basi, kwani sisi tulifanya mukatuzuia kwa mateso na vifungo, sasa fanyeni kwani wengi wetu huku hatuutaki huu.
Wakati ni huu.
LICHAWI TU LILE SI UNAONA HATA SURA YAKE!Mtu kama Mzee Wassira ni hasara kwa Tanganyika.
Samiah SuluhuMgeni gani ambae amepewa Nchi?
Mzanzibar kutawala Tanganyika wakati Mtanganyika haruhusiwi kuwa hata kuwa Mkuu wa Mkoa Zanzibar.Samia sio mtanganyika kwa hiyo hoja yako ni ipi ?
Acha hizo bana.Mbona Karume mwasisi wa Taifa la Zanzibar ni Mmalawi?Tanzaniaaaaaa!
Unajua kuwa Wazanzibari nao wanalalamika kuwa Rais wao Mwinyi, huyu wa sasa na rais Mwinyi baba yake, ni Watanganyika wa kitoka Mkuranga waliopandikizwa Zanzibar na Watanganyika kutoka Dodoma?
Mzanzibar.Muachiwe nchi yenu tanganyika?kwani hiyo tanganyika imechukuliwa na nani ?