Sikutegemea Viongozi wa CCM kuweka Maslahi ya Tanganyika pembeni

Lakini unakubali kuwa Zanzibar ipo lakini Tanganyika haipo?
Ndio Zanzibar ipo ila tanganyika haipo sasa kwa ushauri muitafute kwanza hiyo tanganyika imepelekwa wapi ?na ni nani huyo alieipeleka huko ?na ameipeleka kwa maslahi ya nani ?hapo itakuwa mumepata kwa kuanzia kinachofuata muanze sasa kupambana kuirudisha huko ilikopelekwa
 
Ni CCM kwa maslahi ya mafisadi kama Kikwete,Wassira,Ndugai na Mwigulu Nchemba.
 
Walioko magerezani ni wezi wa kuku na vibaka wadogo wadogo na wengine wameonewa kama kubambikizwa kesi na polisi na kesi za kuwatengenezea wanasiasa wanaoogopwa na viongozi
Lakini mijizi na mipapa iko uraiani inayouza kila siku rasilimali zetu huku ikipewa heshima za waheshimiwa, ni mijizi mikubwa inayollifilisi Taifa letu halafu inajifanya ina uzalendo na Tanganyika,na watakufa mpaka wapukutike sababu ya kuvimbiwa
 
Tanganyika ilifutwa 1964. Wakati wa TANU na AFRO SHIRAZI, Kikwete bado anasoma. Alaumiwe kwa mengine lakini si hili.
 
👆🏾Hii post itengenezwe kwenye billboards ziwekwe kwenye barabara kubwa/muhimu zote Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…