Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Mke wangu usiku wa manane baada ya shoo tukawa tubapiga story za ma ex.
Akanambia enzi anasoma ametoka shule dom akiwa form 3. Anakuna home dar. Kufika stend ubungo ghafla akamuona ticha wake wa geograph. Ticha akampanga pale wakaenda kulala lodge mbagala.. hata home hakufika wanajua bado yuko shule... aiseeeee niliumiaaaa.. wiki tatu sili vizurii roho inaniuma kuhusu yule ticha..
Nimecheka sana, mmekaa na wife usiku baada ya kuwekana anaanza kukuambia mwalimu wake wa geography alivyocharaza😁😁😁

Vitu vingine msiruhusu kabisa kwenye maisha ya ndoa, vinawaletea sononeko la moyo bila sababu za msingi.
 
Barieda siku ukikua utagundua hii Dunia siyo yetu na tunapita tu- sijaona kosa la kumuacha huyo mwanamke. Kuna wenzako wameambulia wanawake majangili haswaaa na hawana chembe ya majuto.
Huyo wako Bora nafsi inamsuta anajutia.
Kaeni mlee mtoto wenu.
Narudia kukuasa ,mkataa pema......
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Huyo nae ana kisedemnede si angekaa kimya tu
 
Mke wangu usiku wa manane baada ya shoo tukawa tubapiga story za ma ex.
Akanambia enzi anasoma ametoka shule dom akiwa form 3. Anakuna home dar. Kufika stend ubungo ghafla akamuona ticha wake wa geograph. Ticha akampanga pale wakaenda kulala lodge mbagala.. hata home hakufika wanajua bado yuko shule... aiseeeee niliumiaaaa.. wiki tatu sili vizurii roho inaniuma kuhusu yule ticha..
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bado nawaza aliwashwa nini hadi ayaseme hayo, jinga kweli.

Kikao kilishaamua kama bikra ilishaondoka na pikipiki basi yeye ndio wa pili na huyo wa kwanza hata hamkudumu saaaana. Na wala haujawahi penda kama unavyompenda yeye.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Barieda siku ukikua utagundua hii Dunia siyo yetu na tunapita tu- sijaona kosa la kumuacha huyo mwanamke. Kuna wenzako wameambulia wanawake majangili haswaaa na hawana chembe ya majuto.
Huyo wako Bora nafsi inamsuta anajutia.
Kaeni mlee mtoto wenu.
Narudia kukuasa ,mkataa pema......
Jamaa anafanya mambo yawe magumu bila sababu. Demu hajamkuta bikra anachoumia kitu gani. Kama anataka mwanamke wa peke yake labda amuumbe mwenyewe.
 
Sijipi uMungu mtu, kufanya mapenzi siyo tatizo kubwa kwangu na ndiyo maana hilo halikuniumiza, kwani hata mimi nimetembeza kichapo sana kwa mabinti wengine, tatizo lililopo hapa ni mwanamke ambaye mimi ndiyo niliyemchagua kuwa Mama wa familia yangu, kuwa na historia ya kuishi na mwanamme, nielewe vizuri, ukiishi na mwanamke maana yake huduma unazopewa kama mme amewahi kutoa kwa mwanamme mwingine tena kwa miaka miwili, aisee inauma sana.
Wewe unavyoishi na huyo mwanamke umemlala mpaka kapata mimba umemuoa? Yaan wewe unaumia kwa mambo yake ya nyuma ambayo na wewe unafanya marudio lkn upo hapa kulalamika unachekesha sana.
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.
Kama hakupata mtoto basi atakua alifanya abortion haiwezekani watu waishi nyumba Moja wanapika na kupakua approximately a whole Year na asipate ujauzito bro ndo mana me naamini Bora ukutane na single Mather kuliko kukutana na mwanamke alimwaga damu ambayo haikua na hatia kizazii chako kitakua Cha hovyo Sana asipokua muwazi Katika swala la utoaji mimba Ili wote mkaenda mbele za MUNGU na kuomba Toba

Note: ni hatarii kuoa mwanamke asiekua na bikra ukitaka uwe na NDOA yenye UPENDO, AMANI na FURAHA mtangulize MUNGU na atakukutanisha na mwanamke sahihi means wa ubavu wako na Moja ya sifa atakayokua nayo ni bikra utaenjoy SANA 😊💪
 
Mkuu unabahat na ukichezea bahat hiyo utakuja kukutana na bint kajifanya mlokole kumbe hata kiboga analiwa na masela nje..!!! Ofukoz anakupenda ndio mana kakueleza hilo...
WOSIA WANGU KWA WANAUME WOTE TAFUTA MKE ANAYEKUPENDA SIO UNAYEMPENDA( Utakuja nshukuru baday)
 
Wakuu kwema,

Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha yangu nilijitunza sana ili kuhakikisha sizai hovyo na mwanamke ambaye sitamuoa na nihakikishe napata mwanamke sahihi kwangu na kwa mstakabali mzima wa familia yangu (watoto).

Katika harakati za maisha nimefanikiwa kukutana na dada, ambaye kwa mwonekano wa nje Angefaa sana kuwa mke wangu na mama wa watoto wangu, nikiri kuwa nilimpenda sana, bila shaka hata yeye kanipenda sana, kwa ufupi kaja kwangu nimeendelea kula mzigo dada kabeba ujauzito na anaelekea kujifungua.

Juzi hapa nikiwa kitandani nawaza mambo ya dunia, kwa upole na kwa hekima ya hali ya juu kaniingizia jambo ambalo ukweli limenitoa kwenye reli.

Kwa kutanguliza msamaha na kwa unyenyekevu wa hali ya juu kanieleza kuwa pindi akiwa chuo kuanzia second year hali ya maisha ilikuwa ngumu sana kwa upande wake kutokana na wazazi kutomtimizia mahitaji ya msingi (fedha ya chakula) kwani alisomeshwa na wazazi .

Hivyo kutokana na hali hiyo ilipelekea kuhama hosteli na kwenda kukaa kinyumba na mwanachuo mwenzake (mwanamme) mpaka kumaliza chuo kisha akaachana naye, huyo jamaa alikuwa na boom, hivyo basi kutokana na hali hiyo jambo hilo amekaa nalo moyoni kwa muda mrefu ila ameshindwa kuvumilia anaomba msamaha na kunisihi nimuamini katika maisha yake yote.

Niseme tu kwamba sijaongea chochote mpaka sasa, nimekosa cha kumjibu na hapa moyo wangu unarindima hasira isiyo na mfano, chakula hakipandi na nahisi kupaliwa na kila kiingiacho kinywani kwangu, kila adhabu nayowaza nahisi ni ndogo kwake.

Wakuu wenye hekima na busara naomba mawazo yenu, maake nahisi mi nimefika ukomo wa kuwaza zaidi ya kutaka kufanya maamuzi magumu na ya ovyo.

Maamuzi ni yako Barieda

Ukiamua kumwacha aliyekuambia ukweli wa jambo asilolipenda ili awe na amani ya moyo
Ukamtafuta Yule atakayekuficha ukweli sababu hayupo tayari kuacha hicho alichokua akifanya ni juu yako

Maana mnapenda kudanganywa ukweli hamuutaki kabisaa
 
Barieda
Ya ni kweli ni ngumu kuishi na mtu kama mke na mume asipate ujauzito inawezekana hata amewahi kutoa ujauzito mara kadhaa wa jamaa.
 
Back
Top Bottom