Sikuwa na mpango wa kuwa na Mtoto wa nje lakini huenda ikawa hivyo

Hatari.....mabinti nao ujue wanapenda sio mnataka kusema wanaume tuu ndio wana hizo fantasys
Me mwenye uhakika kuwa sitakuwa nae baadae anakuwa anafanya vitu vya ovyo sana.
Atataka style aone ipoje.
Ila kwa ishu ya dada kukaa na mwanaume nafikili ni tabia ya mtu, wapo mabinti wengi tuu vyuoni hawana hayo mambo wapo wanaokula hata mlo mmoja kwa siku, huyo kuna kitu nyuma yake. Sio rahisi amwambie afu iweje.

Sasa kama anatafuta pesa kwa kutumia K.
Kuna wadada wawili hapa waliwahi kuleta uzi.
Mmoja alisema " Kufukuzwa kazi kwa mume wangu, kanifundisha kuchepuka"

Wa pili yeye alisema " mume wangu kazaa nje , ameamua kichepuka ili kuwajengea watoto wake wa kike, maana kwa baba yao hawatarithi anataka kumpa mtoto wa nje wa kiume"

Bro mleta uzi kuwa makini mabinti watumia k, kukidhi maisha hio tabiaa hawaachi.
 
Ongera unaonekana ni mtu wa kupotezea ila mimk ni kama mtoa mada siwezi kabisa.
 
Alikaaa na jamaa kipindi wewe mpo kwenye mahusiano au mlikuwa bado hamjakutana bro??
Kaka sikuwa naye kwenye mahusiano, amemaliza chuo ndipo nikaingia naye kwenye mahusiano, ukweli ni kwamba ndiye mama la mama ambaye nilitegemea awe wa maisha yangu.
 
Bro salute kwako, wewe ni wale wa kupotezea ,
Ila kama mimi ninkama mtoa mada siwezi kabisa.
Ila huyo mkeo nafikilk aliamua tuu kufanya hayo. Na trust me bado anaweza akawa anafanya mpaka sasa.
 
Bro salute kwako, wewe ni wale wa kupotezea ,
Ila kama mimi ninkama mtoa mada siwezi kabisa.
Ila huyo mkeo nafikilk aliamua tuu kufanya hayo. Na trust me bado anaweza akawa anafanya mpaka sasa.
Hata akifanya mimi sijali,bahati nzuri sijawah kumpenda mwanamke yaan sijawah kupenda,wanawake ndo huwa wanahangaika juu yangu
 
Kaka sikuwa naye kwenye mahusiano, amemaliza chuo ndipo nikaingia naye kwenye mahusiano, ukweli ni kwamba ndiye mama la mama ambaye nilitegemea awe wa maisha yangu.
Pole sana , naelewa situation yako kaka. Kwa uliitaji kwenda kwao kujitambulisha au ushaenda??

Kama ujaenda jipe muda kidogo uangalie itakuwa hayo maumivu kaka.
 
Huyo mdada na yeye boya tu, kasema ili iweje?

Malaika [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kiukweli kuna mambo na mambo yakusema mengine husemi!Na kutokusema sio kwamba umedanganya ila tu umeamua kutokusema!
Hizi confessions unatakiwa uangalie na mtu unaemwambia kwakweli uchekeche na uchuje!
Kuna mambo ukisema yanakupa credit na mengine yanakushusha sasa lazima ujue kubalance equation na ku shape narration yako.
Ila bado nampongeza confessing ni ujasiri wa aina yake!
 
Mkuu naona umejipigia picha ukaona ni jinsi gani jamaa lilivyokuwa linafaidi na huyo mtu wako huko chuo. Pole sana ila usipende sana kufukunyua mambo, hayo huwa hatuulizani, kwa vile kama ni kuwekwa kawekwa...
Binti mwenyewe ndo kamwambia.
Ndo maana tunasema kutakuwa kuna issue nyuma binti anaficha anaogopa isije repuka baadae.
Dada yangu Kapeace njoo huku
 
We are sailing the same boat. Nahisi nitaoa mwingine muda siyo mrefu, nilijizuia sana kuwa watoto wa mama tofauti, ila the situation I'm confronting compels me to so be.
 
Ndiyo kilichotokea na soon jamaa anaenda ku find out. Wanawake wana siri zao huwa hawazitoi hata iweje. Halafu leo hii huyo aanze tu kujielezea, kwa kujifanya anampenda sana!! Hapo tayari kuna msala tena, mkubwa tu.
Bro mtoa uzi kuwa makini wanawake wanatunza siri sana,
Why akuambie???????
Jiulize kwanza hilo bro????
 
Huyo mwanamke naye mjinga tu kulikuwa na haja Gani ya kujieleza yote hayo wakati hajaulizwa!!? Ona Sasa anaenda kuwa singo maza kizembe?? [emoji4][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Na hiki ndicho kinachonitesa, nawaza vingi mno akilini mwangu, mpaka nafikia hatua ya kuwaza kuwa jamaa amefaidi usichana wa mwanamke wangu kwa kipindi kirefu akimtumia vile atakavyo, kuliko mimi ambaye nimekaa naye mwaka mmoja kisha kupata ujauzito.
 
It’s up to her hakuna anaejua kwanini kasema ila kibinadamu linabaki kua jambo la kiungwana.
Sasa Kama ana motives zake atajiharibia mwenyewe ukizingatia mvulana wake hana kifua cha kuhimili ana wivu balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo maana nimemwambia asiende kujitambulisha kwao, akaae kwanza ajipe muda , ila aongee na binti kwanza kuhusu hilo swala asikae kimya.
Ajipe muda hata mwaka au zaidi aangalie kisaikolojia kafikia wapi kama kashidwa piga chini.
 
Na hiki ndicho kinachonitesa, nawaza vingi mno akilini mwangu, mpaka nafikia hatua ya kuwaza kuwa jamaa amefaidi usichana wa mwanamke wangu kwa kipindi kirefu akimtumia vile atakavyo, kuliko mimi ambaye nimekaa naye mwaka mmoja kisha kupata ujauzito.
Mkuu jipe muda hata mwaka pengine zaidi uangalie moyo wako kama umerudi au la, ila usisahau kumwambia kaka. Muongee afu muamue mufanye nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…