Sikuwahi fahamu mapenzi yanaumiza hivi

Maisha yanabadirika, nyie wagumu ndio huwa mnavurygwa kweli kweli.. bora sie soft soft
Yaani mtu unakuwa soft na vitu vya kijinga useme bora?.

Endelea kupambana na "ULAINI" nafikiri upo kwenye hatua kuelekea ukomavu utakomaa tuu ...
 
Yaani mtu unakuwa soft na vitu vya kijinga useme bora?.

Endelea kupambana na "ULAINI" nafikiri upo kwenye hatua kuelekea ukomavu utakomaa tuu ...
Watu kama nyie ndio laini sanaaa, nyuma ya keyboard mnajiona miamba kumbe wepesi tu kama upepo
 
Kimoja chalii afu unakoroma kidume mpk asbuh haha
wakati mwingine hata hicho kimoja hakipi, yaani unapiga nusu bao, hujui hata kama umepiga bao ila kududu unashangaa kimelala na ghafla unalala hapo hapo ๐Ÿ™ƒ๐Ÿ™ƒ๐Ÿ™ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ